pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Eti hawa jamaa wenye wivu wanauliza tutawauzia US nini. Hawajui kwamba Kenya huwa tunawauzia US bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwao. Tena bidhaa tunazowauzia kwa wingi ni kutoka kwa viwanda, Kenya ilichangamkia na ikafaidi kweli kweli baada ya ule mkataba wa kibiashara wa AGOA. Kwa mfano mwaka wa 2018 exports za Kenya kuenda USA zilikuwa za thamani ya $644Million na imports za Kenya kutoka USA, $365Million. Takwimu kutoka kwa serikali ya US. Kenya | United States Trade Representative