Kenya ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo ya kufungua soko lote la USA kwa bidhaa za Wakenya

Eti hawa jamaa wenye wivu wanauliza tutawauzia US nini. Hawajui kwamba Kenya huwa tunawauzia US bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwao. Tena bidhaa tunazowauzia kwa wingi ni kutoka kwa viwanda, Kenya ilichangamkia na ikafaidi kweli kweli baada ya ule mkataba wa kibiashara wa AGOA. Kwa mfano mwaka wa 2018 exports za Kenya kuenda USA zilikuwa za thamani ya $644Million na imports za Kenya kutoka USA, $365Million. Takwimu kutoka kwa serikali ya US. Kenya | United States Trade Representative
 
1.AGOA is tarrif free..That's why Kenya can export into USA in relatively large numbers

2. AGOA is expiring.. Any solo trade deal with america is foolish, Kenya offers too small a market for USA for any significant leverge on tarrif breaks.

3.The way to force america to negotiate fairly is to present them with an EAC or Comesa market (160m - 400m people) which is $200b - $600B GDP.

4.Once you make a deal with America, that superceeds any other deal that EAC or Comesa which Kenya is a member makes with USA. Kenya will be stuck with high tarrifs
 
Nyie wakenya hajielewi. Nadhani mnawajua US hawana mchezo kwe mikataba yao. Nyie mtawauzia nini? 👈 tuanzie hapo kwanza.

US ndio soko la tatu la bidhaa zetu tungeanzia hapo. Mlicheleweshwa na ujamaa na bado unawalemaza.
 
Una mawazo mgando wewe Yani unafurahia kufanya free trede na US? Tatizo akili huna we kilakitu ushabiki, hivi Kenya kuna kiwanda cha nguo kinachoweza kutengeneza nguo ya kununulika Marekani au ndio biashara ya kupeleka low material? Mimi naomba huu mkataba viongozi wetu wasisaini na hata huyo atakaekuja asikubali.
 
EAC imejaa watu wa wivu..you wanted to hold us back by not signing AGOA extension coz Kenya ndo nchi tu haikua LDC so our goods would be subject to duty if AGOA ended without a new deal. luckily now you're no longer LDC let's wait and see your position now.
 
Be updated, the US under Trump has chosen to make bilateral deals with individual countries not regional blocs. This trade deal with Kenya once formaly finalised will be a model for all other bilateral trade agreements with other African countries. Furthermore, the EAC countries are not reliable in moving as a bloc, decision-wise, in any setting trade or otherwise and AGOA expires in 2025.
 
So you now see the logic. Negotiating a solo deal is foolish, 50m people and a 99b GDP cannot yeild tarrif conssesions from USA. You must work with others and not seem to use other's LDC status to advance yourself.

Tanzania is part of SADAC ..A USA - Sadac trade deal is far much more beneficial to TZ because the countries are much richer both in minerals and more developed

Kenya should join forces with somalia and Ethiopia
 
Hapa Tz TAHA iendelee kujiimarisha na kutafuta masoko nje direct, inafurahisha uwanja wa KIA wameshajenga eneo la mizigo na Mwanza na Songwe pia. Mazao yetu ya maua, mboga mboga na matunda yaruke direct kwenda nje. Na ule mchakato wa soko la chai uharakishwe chai yetu tuiuzie hapa. pamba zichakatwe haswa tupeleke vitambaa nje direct.

Nyang`au abaki na soko lake na US tuone atapeleka nini huko.
 
US ndio soko la tatu la bidhaa zetu tungeanzia hapo. Mlicheleweshwa na ujamaa na bado unawalemaza.
US imetupilia mbali wazo la makubaliano yeyote na blocs kama EAC au SADC n.k. Itabidi wangoje zamu yao na ikifikia wakati huo wakichagua kusuasua au wakatae kabisa kujadiliana kuhusu dili lolote lile watajijua wenyewe. Mambo ya kucheleweshana na unafik wa kuhujumiana huku tukiitana mandugu hayana manufaa yeyote kwa nchi ya Kenya. Uchumi wa Kenya tumeukuza, tukafanya mengi hadi tulipofika tulipo sasa hivi bila huo muungano hewa wa EAC.
 
Mmekula lakini? Sio unazungumzia mambo makubwa hivyo wakati bado mna njaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya can go ahead and sign a solo deal with america, but that will not be a model for any us trade relations with africa because no other country is stupid enough to do a solo deal While having a mediocre economy.. Comesa and\or SADAC joint deal with USA is the way forward. Feel free to lock yourselves up in Trump's Supermassive tarriffs
 
Jombaa serikali ya Trump haitaingia kwenye mkataba na SADC, EAC au bloc zozote zile. US wamekataa 'multirateral deals' zozote zile na sasa 'bilateral deals' ndio zinafanywa kati ya US na nchi moja moja, iwe barani Afrika au Asia. Mtangoja sana kubebwa na wengine kama hamjiamini . Mbona unashindwa kuelewa vitu simpo? Against Washington’s ‘Great Power’ Obsession
 
USMCA is a multilateral deal which trump signed, there is nothing special about bowing down to a bully who wants narrow vindictive bilateral deals.Kenya will be the first African country to allow America to divide Africa's market to their advantage. The rest of africa is not that stupid, please go ahead and whore yourselves out..We have seen this movie before - China now owns kenya
 
Ok.
 

Negotiating as the EAC is better.. But with a saboteur like TZ that has nothing to loose if they have no deal with the US, we may find ourselves in a situation like the one we had with the EU.
 
Negotiating as the EAC is better.. But with a saboteur like TZ that has nothing to loose if they have no deal with the US, we may find ourselves in a situation like the one we had with the EU.
Boss, Go get new friends like somalia and Ethiopia. Negotiating a solo deal with america is guaranteed high tarrifs & economic rape. Tanzania has enough friends to work with in SADAC, EAC and comesa. If Kenya can't make friends that's their problem, its buffling that Kenya has border & trade problems with almost everyone. Pambaneni na halo yenu.. Trump is ready to rape you off all your resources like China did
 
US ndio soko la tatu la bidhaa zetu tungeanzia hapo. Mlicheleweshwa na ujamaa na bado unawalemaza.
tatizo ni lugha au?
nauliza hiviii ni bidhaa gani mnauza huko us?

af kwa hali ya maisha ya hapo kunya ni bora ujamaa 'big tym yani
 
Negotiating as the EAC is better.. But with a saboteur like TZ that has nothing to loose if they have no deal with the US, we may find ourselves in a situation like the one we had with the EU.
It would have been better but bad enough for the sabouters is that the posibility of a trade deal between US and EAC or SADC is off the table. The trade deal with Kenya will be the model for similar future bilateral with the rest of african nations, so they better start taking notes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…