Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
10b loss, 5000chinnese workers with a salary to pay 15000kenyans na SGR imeajiri wakenya 1600 only[emoji23][emoji116][emoji116]
10b loss, 5000chinnese workers with a salary to pay 15000kenyans na SGR imeajiri wakenya 1600 only[emoji23][emoji116][emoji116]
Watz ni noma. Naona mmeamua kuwafahamisha Wakenya hali yao halisi
Morning nyanyangu, pole kwa maumivu ya J2. Huyu Chooboy sio MTU mzuri kabisa, amesahau kwamba our GDP is the biggest.Kilaza chooboy amekuja kuharia huu Uzi. This idiot tho
Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.Uchumi wa Taifa la Kenya umetupita lakini watu wa taifa la Kenya ni masikini wa hohehahe 61% wa Tanzania tuna afadhali Kubwa katika maisha ya mtu mmoja mmoja tumewapita mbali wa kenya.
Samahani sana nyanyangu, mbona sikuelewi?, si kawaida yako kuonyesha hasira, imekuaje Leo, nani amekukwaza?I wonder whether you people were taught moral values by your mothers and fathers. MNA tabia ambazo zinaweza Fanya nguruwe watapike. I have lowered my dignity several times here by acting aggressively.What were you taught in school anyway?
Majority of Tanzanians here are idiotic pathogens who can't use euphemistic words. You argue like kindergarten kids.
Hahahahaha, usitumie nguvu kupingana na dunia, wakenya hata chakula hakuna, vipi ulinganishe na Tanzania?, nilishakupa data za WB zilizoonyesha Tanzania population below poverty line by 2017 was 28%, na Kenya wa 43%, umetoroka kule umeamua kuhamia huku, unataka nizilete zile data huku ili utoroke tena?Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
Katika hili nipo pamoja na wewe nyanyangu. Pole sana kwa yaliyotokea na ninakuomba usiwe mwepesi wa kukasirika.Ni kawaida yako kuja ku~defend wenzio. That chooboy thinks money can buy respect?I know the mods respect him 'cause he's bakhresa grandson. Tell him I don't care whether he farts $$$or not. I don't entertain nonsense.
OverviewJombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
Ripoti iliyotolewana shirika la utafiti 'World Poverty Clock' limeorodhesha Kenya katika nafasi ya nane duniani na sita katika bara la Afrika kati ya nchi zenye umasikini zaidi.Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
Mliletewa takwimu hizi za kueleweka na nyangau mkenya kwenye uzi flani hivi, ila mkajitia hamnazo na hakuna yeyote yule kati yenu, impongo, joto la jiwe, aliyethubutu kuchangia. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%
6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
Endelea kulishwa propaganda kwenye vijiwe vya kahawa. Nimezuru maeneo mengi tofauti Tz. Hakuna aliyekuomba usaidizi, hapa tunaongea kuhusu takwimu, tena takwimu kutoka kwa U.N. sio hizi blah blah zako.Hii haina ukweli wowote hata wewe unafahamu Kuwa wa Tanzania aslimia 85 tuna hakika ya kuishi maisha mazuri kwasababu tuna aridhi nzuri ya kilimo ni wafugaji hstuishi kwa bahati na sibu kama wa Kenya.
Njoo uwe ndg yangu upate uraia nitakupa shamba lenye rutuba acha kuishi kwa Bahati nasibu
Kati ya WB na hiyo source nani ni more reliable katika mambo haya ya poverty?. World Bank na IMF are the last references.Mliletewa takwimu hizi za kueleweka na nyangau mkenya kwenye uzi flani hivi, ila mkajitia hamnazo na hakuna yeyote yule kati yenu, impongo, joto la jiwe, aliyethubutu kuchangia. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%
6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
Endelea kulishwa propaganda kwenye vijiwe vya kahawa. Nimezuru maeneo mengi tofauti Tz. Hakuna aliyekuomba usaidizi, hapa tunaongea kuhusu takwimu, tena takwimu kutoka kwa U.N. sio hizi blah blah zako.
OverviewEndelea kulishwa propaganda kwenye vijiwe vya kahawa. Nimezuru maeneo mengi tofauti Tz. Hakuna aliyekuomba usaidizi, hapa tunaongea kuhusu takwimu, tena takwimu kutoka kwa U.N. sio hizi blah blah zako.