Kenya is doing well every sector.

Kenya is doing well every sector.

Wachina hawana urafiki hutafta maslahi binafsi tutarajie kusikia mengi ya kuhuzunisha
10b loss, 5000chinnese workers with a salary to pay 15000kenyans na SGR imeajiri wakenya 1600 only[emoji23][emoji116][emoji116]

Uchumi wa Taifa la Kenya umetupita lakini watu wa taifa la Kenya ni masikini wa hohehahe 61% wa Tanzania tuna afadhali Kubwa katika maisha ya mtu mmoja mmoja tumewapita mbali wa kenya.
Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
 
I wonder whether you people were taught moral values by your mothers and fathers. MNA tabia ambazo zinaweza Fanya nguruwe watapike. I have lowered my dignity several times here by acting aggressively.What were you taught in school anyway?
Majority of Tanzanians here are idiotic pathogens who can't use euphemistic words. You argue like kindergarten kids.
Samahani sana nyanyangu, mbona sikuelewi?, si kawaida yako kuonyesha hasira, imekuaje Leo, nani amekukwaza?
 
Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
Hahahahaha, usitumie nguvu kupingana na dunia, wakenya hata chakula hakuna, vipi ulinganishe na Tanzania?, nilishakupa data za WB zilizoonyesha Tanzania population below poverty line by 2017 was 28%, na Kenya wa 43%, umetoroka kule umeamua kuhamia huku, unataka nizilete zile data huku ili utoroke tena?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
- Kenya imeorodheshwa katika nafasi ya nane kati ya nchi zenye umasikini zaidi duniani
- Katika bara Afrika, Kenya imeshikilia nafasi ya sita
-Turkana, Bungoma, Wajir, Narok, na Busia ni kati ya kaunti zenye watu masikini zaidi
- Ukame na mzozo baada ya
Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ni kawaida yako kuja ku~defend wenzio. That chooboy thinks money can buy respect?I know the mods respect him 'cause he's bakhresa grandson. Tell him I don't care whether he farts $$$or not. I don't entertain nonsense.
Katika hili nipo pamoja na wewe nyanyangu. Pole sana kwa yaliyotokea na ninakuomba usiwe mwepesi wa kukasirika.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
Overview
Soma hiyo ni the latest World Bank report inazungumzia Tanzania chini ya uongozi wa Magufuli. Hii inaonyesha poverty level ni 26.9%.
 
Jombaa, mbona mnapenda kujiliwaza na propaganda? Hizo takwimu zako ambazo hazieleweki umezitoa wapi? Maanake kulingana na takwimu za mwaka huu, U.N. Multi Dimensional Poverty Index 2018; umasikini Tz ni 56.6% watu takriban 30.1 million, linganisha na za Kenya, 38.8% watu 18 million. Pambaneni na hali yenu bana kelele nyingi hazitabadilisha uhalisia wa mambo kama yalivyo.
Ripoti iliyotolewana shirika la utafiti 'World Poverty Clock' limeorodhesha Kenya katika nafasi ya nane duniani na sita katika bara la Afrika kati ya nchi zenye umasikini zaidi.
Nigeria imepiku India na kuchukua nafasi ya kwanza huku utafiti huo ukibaini kuwa ina zaidi ya watu 86 milioni masikini zaidi.
Habari Nyingine : Tazama jumba la kifahari la Raila Odinga linaloangaziwa na Waziri Echesa
Ripoti hiyo ilibainisha kuwa 14.7 milioni ya Wakenya ni masikini huku wakiishi kwa chini ya KSh 197 kwa siku.
Aidha, ripoti hiyo imeeleza kuwa Turkana ndiyo kaunti inayoongoza kwa umasikini nchini Kenya huku watu 756,306 wakiathiriwa.
Habari Nyingine : Jamaa atumia gari aina ya BMW kama jeneza kumzika babake
Kaunti ya Bungoma imeshikilia nafasi ya pili kwa idadi ya 726,012 wakiathirika.
Utafiti huo umebaini kuwa idadi ya watu maskini umeongezeka nchini kwa zaidi ya milioni tatu kutoka mwaka jana.
Habari Nyingine : Picha za watoto wa mtaani wakifanya harusi Gikomba zafurahisha wengi
Kutokana na utafiti huo, imebainika kuwa hali ya umasikini unazidi kulemaza taifa la Kenya licha ya Rais Uhuru kutangaza malengo yake manne kuhusiana na maendeleo nchini.
Shirika linalosimamia utafiti Kenya (KNBS) imeeleza kuwa hali hiyo imetokana na ukame na uchaguzi wa mwaka jana uliochukua muda mrefu.
 
Mliletewa takwimu hizi za kueleweka na nyangau mkenya kwenye uzi flani hivi, ila mkajitia hamnazo na hakuna yeyote yule kati yenu, impongo, joto la jiwe, aliyethubutu kuchangia. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%

2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
 
Jamaa wenye allergy hatari ya takwimu wamezamia kusikojulikana. Kazi kukomalia tu kwenye tweets za wakenya ambao wanaikashifu na kuishinikiza serikali yao kwenye masuala yote chini ya jua, ili iwajibike. Wadhubutu kuikashifu serikali yao kama wakenya wanavofanya, tena bila uoga, tuone kitakachofata. Bure kabisa!
 
Hii haina ukweli wowote hata wewe unafahamu Kuwa wa Tanzania aslimia 85 tuna hakika ya kuishi maisha mazuri kwasababu tuna aridhi nzuri ya kilimo ni wafugaji hstuishi kwa bahati na sibu kama wa Kenya.
Njoo uwe ndg yangu upate uraia nitakupa shamba lenye rutuba acha kuishi kwa Bahati nasibu
Mliletewa takwimu hizi za kueleweka na nyangau mkenya kwenye uzi flani hivi, ila mkajitia hamnazo na hakuna yeyote yule kati yenu, impongo, joto la jiwe, aliyethubutu kuchangia. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%

2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
 
Hii haina ukweli wowote hata wewe unafahamu Kuwa wa Tanzania aslimia 85 tuna hakika ya kuishi maisha mazuri kwasababu tuna aridhi nzuri ya kilimo ni wafugaji hstuishi kwa bahati na sibu kama wa Kenya.
Njoo uwe ndg yangu upate uraia nitakupa shamba lenye rutuba acha kuishi kwa Bahati nasibu
Endelea kulishwa propaganda kwenye vijiwe vya kahawa. Nimezuru maeneo mengi tofauti Tz. Hakuna aliyekuomba usaidizi, hapa tunaongea kuhusu takwimu, tena takwimu kutoka kwa U.N. sio hizi blah blah zako.
 
Mliletewa takwimu hizi za kueleweka na nyangau mkenya kwenye uzi flani hivi, ila mkajitia hamnazo na hakuna yeyote yule kati yenu, impongo, joto la jiwe, aliyethubutu kuchangia. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%

2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
Kati ya WB na hiyo source nani ni more reliable katika mambo haya ya poverty?. World Bank na IMF are the last references.
 
Mimi si mtu wa vijiwe vya kahawa wala si mwanasiasa tuachane na joke niliyoiingiza kwenye mashamba ila ukweli dhahiri Tanzania kwenye unafuu wa maisha kwa wanainchi tumewapita nyie wa Kenya mbali kitu mnschotuzidi ni uchumi wa Serikali na miundombinu yenu pamoja na Viwanda mmejitahidi sana lakini bado serikali ya Kenya haijatengeneza mazingira yanayogusa masikini wa kutupwa ambao ndio wengi Kenya.

Ninaamini Tanzania tukiamua kwa dhati miaka 10 tunawapita na hamtokuja kutufikia tena.

Lakini kwenye maisha ya watu wa Hali ya chini tumewapita maana uchumi wa kenya Umeshikiliwa na watu wachache sana ni ngumu Kenya kujikwamua katika lindi la umasikini kwa watu wa kawaida
Endelea kulishwa propaganda kwenye vijiwe vya kahawa. Nimezuru maeneo mengi tofauti Tz. Hakuna aliyekuomba usaidizi, hapa tunaongea kuhusu takwimu, tena takwimu kutoka kwa U.N. sio hizi blah blah zako.
 
Endelea kulishwa propaganda kwenye vijiwe vya kahawa. Nimezuru maeneo mengi tofauti Tz. Hakuna aliyekuomba usaidizi, hapa tunaongea kuhusu takwimu, tena takwimu kutoka kwa U.N. sio hizi blah blah zako.
Overview
Takwimu za UN ndio hizi zinazosema Tanzania poverty level ni 26.9%, Kenya ni 43%, mbona huzitaki unalazimisha takwimu za NGO ambazo sio UN?. Pole sana nadhani umeshikika pabaya.
 
Back
Top Bottom