Kenya is doing well every sector.

Kenya is doing well every sector.

Kuna watu hapa juu wanakuja na propaganda zao, wengine takwimu za 2015. Meeen! Warreva you say, ma niggaz! 😎
 
Jamaa wenye allergy hatari ya takwimu wamezamia kusikojulikana. Kazi kukomalia tu kwenye tweets za wakenya ambao wanaikashifu na kuishinikiza serikali yao kwenye masuala yote chini ya jua, ili iwajibike. Wadhubutu kuikashifu serikali yao kama wakenya wanavofanya, tena bila uoga, tuone kitakachofata. Bure kabisa!
Kitu gani mnachopata hata mnapoishinikiza serikali yenu?, serikali yetu inawajibika bila kushinikizwa, ndio sababu imefyekelea mbali corruption, nepotism, uzembe miongoni mwa civil servants, umedhibiti crime, na kuboresha Huduma za jamii.

Ninyi pamoja na kushinikiza serikali, bado rushwa, nepotism, crime na matumizi mabaya ya madaraka na pesa za umma vinaongezeka, hali ya maisha kwa wakenya inazidi kuwa ngumu, zaidi ya kujisifia hamna kitu mnaweza onyesha kipo vizuri.
 
Sijakasirika Mimi. Si hata wewe ulinitusi limonkey (sijui hii ni lugha gani pengine ya vijiweni) kiss niliandika lyrics za muhudumu Ashley. Nyie wabongo MNA roho mbaya sana. Tusiposapoti wasaniiwenu mtatoka LDC kweli?
Ingrates
Kama ulihisi nilikilenga wewe ninakuomba msamaha. Ila katika mambo ya uchumi, Kenya inaitegemea sana Tanzania, bila Tanzania uchumi wa Kenya utafilisika. Tanzania haitegemei Kenya kwa lolote lile, kwasababu tupo SADC tunasoko kubwa la bidhaa zetu huko Zambia, Malawi, Msumbiji, Zimbabwe, DRC na Namibia.
 
Defending Jubilee is such a headache
Nani ametaja Jubilee? Hahaa! [emoji1] Mimi nimetupia tu data za U.N. za 2018. Alafu mzee, tangu blah blah za jiwe this jiwe that zipigwe marufuku humu sijui ulizamia kwenye handaki gani hilo. Dah! Kumbe wakati mwingine dawa ya kuua mende inaweza ikaua hadi na panya pia? [emoji23]
 
Sijakasirika Mimi. Si hata wewe ulinitusi limonkey (sijui hii ni lugha gani pengine ya vijiweni) kiss niliandika lyrics za muhudumu Ashley. Nyie wabongo MNA roho mbaya sana. Tusiposapoti wasaniiwenu mtatoka LDC kweli?
Ingrates

Ahaaa haaa haaa
maneno magumu. mpaka nimejuta kupitia huu uzi.
 
Back
Top Bottom