pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kuna watu hapa juu wanakuja na propaganda zao, wengine takwimu za 2015. Meeen! Warreva you say, ma niggaz! 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu gani mnachopata hata mnapoishinikiza serikali yenu?, serikali yetu inawajibika bila kushinikizwa, ndio sababu imefyekelea mbali corruption, nepotism, uzembe miongoni mwa civil servants, umedhibiti crime, na kuboresha Huduma za jamii.Jamaa wenye allergy hatari ya takwimu wamezamia kusikojulikana. Kazi kukomalia tu kwenye tweets za wakenya ambao wanaikashifu na kuishinikiza serikali yao kwenye masuala yote chini ya jua, ili iwajibike. Wadhubutu kuikashifu serikali yao kama wakenya wanavofanya, tena bila uoga, tuone kitakachofata. Bure kabisa!
Kama ulihisi nilikilenga wewe ninakuomba msamaha. Ila katika mambo ya uchumi, Kenya inaitegemea sana Tanzania, bila Tanzania uchumi wa Kenya utafilisika. Tanzania haitegemei Kenya kwa lolote lile, kwasababu tupo SADC tunasoko kubwa la bidhaa zetu huko Zambia, Malawi, Msumbiji, Zimbabwe, DRC na Namibia.Sijakasirika Mimi. Si hata wewe ulinitusi limonkey (sijui hii ni lugha gani pengine ya vijiweni) kiss niliandika lyrics za muhudumu Ashley. Nyie wabongo MNA roho mbaya sana. Tusiposapoti wasaniiwenu mtatoka LDC kweli?
Ingrates
Defending Jubilee is such a headache😆😆😆Kuna watu hapa juu wanakuja na propaganda zao, wengine takwimu za 2015. Meeen! Warreva you say, ma niggaz! 😎
Nani ametaja Jubilee? Hahaa! [emoji1] Mimi nimetupia tu data za U.N. za 2018. Alafu mzee, tangu blah blah za jiwe this jiwe that zipigwe marufuku humu sijui ulizamia kwenye handaki gani hilo. Dah! Kumbe wakati mwingine dawa ya kuua mende inaweza ikaua hadi na panya pia? [emoji23]Defending Jubilee is such a headache
Sijakasirika Mimi. Si hata wewe ulinitusi limonkey (sijui hii ni lugha gani pengine ya vijiweni) kiss niliandika lyrics za muhudumu Ashley. Nyie wabongo MNA roho mbaya sana. Tusiposapoti wasaniiwenu mtatoka LDC kweli?
Ingrates
😂😂😂😂😂😂😂😂nakuona.Sijaenda mbali.
Nitajaribu kuyalainisha uweze kuyatafuna 😂