Kenya is doing well every sector.

Kuna watu hapa juu wanakuja na propaganda zao, wengine takwimu za 2015. Meeen! Warreva you say, ma niggaz! 😎
 
Kitu gani mnachopata hata mnapoishinikiza serikali yenu?, serikali yetu inawajibika bila kushinikizwa, ndio sababu imefyekelea mbali corruption, nepotism, uzembe miongoni mwa civil servants, umedhibiti crime, na kuboresha Huduma za jamii.

Ninyi pamoja na kushinikiza serikali, bado rushwa, nepotism, crime na matumizi mabaya ya madaraka na pesa za umma vinaongezeka, hali ya maisha kwa wakenya inazidi kuwa ngumu, zaidi ya kujisifia hamna kitu mnaweza onyesha kipo vizuri.
 
Sijakasirika Mimi. Si hata wewe ulinitusi limonkey (sijui hii ni lugha gani pengine ya vijiweni) kiss niliandika lyrics za muhudumu Ashley. Nyie wabongo MNA roho mbaya sana. Tusiposapoti wasaniiwenu mtatoka LDC kweli?
Ingrates
Kama ulihisi nilikilenga wewe ninakuomba msamaha. Ila katika mambo ya uchumi, Kenya inaitegemea sana Tanzania, bila Tanzania uchumi wa Kenya utafilisika. Tanzania haitegemei Kenya kwa lolote lile, kwasababu tupo SADC tunasoko kubwa la bidhaa zetu huko Zambia, Malawi, Msumbiji, Zimbabwe, DRC na Namibia.
 
Defending Jubilee is such a headache
Nani ametaja Jubilee? Hahaa! [emoji1] Mimi nimetupia tu data za U.N. za 2018. Alafu mzee, tangu blah blah za jiwe this jiwe that zipigwe marufuku humu sijui ulizamia kwenye handaki gani hilo. Dah! Kumbe wakati mwingine dawa ya kuua mende inaweza ikaua hadi na panya pia? [emoji23]
 
Sijakasirika Mimi. Si hata wewe ulinitusi limonkey (sijui hii ni lugha gani pengine ya vijiweni) kiss niliandika lyrics za muhudumu Ashley. Nyie wabongo MNA roho mbaya sana. Tusiposapoti wasaniiwenu mtatoka LDC kweli?
Ingrates

Ahaaa haaa haaa
maneno magumu. mpaka nimejuta kupitia huu uzi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nakuona.Sijaenda mbali.
Nitajaribu kuyalainisha uweze kuyatafuna πŸ˜‚

DUUU yapake asali kidogo ili uchungu upungue. MAANA sasa inakuwa ngumu kumesa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ahaaa haaa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…