Mnajisifu sana ndio maana tunakupigeni za mbavu!!
Wakati mnanunua ndege mlikuwa na maneno y shombo sana!!!
Sasa ona kwenye nchi yenye watu wengi zaidi duniani baada china imechemsha nyinyi mnaenda kununua ndege "kesh"
Likewise viwanda mnavyoviongelea ni vya kudumaza akili za watu wa nchi hii.
Msituambukize ujinga.
Unazungumzia mabomba haya ambayo unalifunga asubuhi jioni halitoi maji au ni mabomba yapi mkuu, unaongelea ndoo disposable! Sahani zinatoka china, unabisha?
Kiwanda cha TAMCO kinachokunyima usingizi. Nakwa sasa kipo kinapanuliwa zaidi. Kinatengeneza tractor za kisasa ilikuinua kilimo nchini kuliko scania ambayo kwako ni ndoto kuinunuaMnatumia mapesa meengi kugharimia midebwedo!
Kama ulienda kufanya shopping kwa ajili ya kibanda chako cha kuuza chips ulitegemea kupata nini zaidi ya hizo chill na tomato sauces?Nimeenda kufanya shopping kariakoo, nimetafuta bidhaa "made in tanzania" nimekumbana na mbilimbi, tomato sauce, chili sauce na ubuyu😀
Huyo alienda kununua bidhaa za kutengenezea chips, asingeweza kuona vingineWewe ni mmoja ya wale watanzania ambao bado mnaendesha sasa. Nitaweka viwanda vilivyo jengwa awamu ya Magufuli kwa kila comment utayokuwa unaweka.
Kiluwa steel. Largest iron and steel industry in East and Central Africa. Kiwanda kinaurefu wa kilometer moja (1km)na reli ya treni ya kilometer 1.2 km.. Kinatengeneza nondo na aina nyingine za chuma. Pia kinatumia coal kuzalisha umeme nakuyeyusha ChumaView attachment 532882 View attachment 532883 View attachment 532884 .
Unaweza ukapima na caliper ukapata cross-section area iliyotajwa lakini conductivity yake ipo poor kama kuna impurities, hivyo usikariri caliper na brah brah zingine ukazani utakuwa umejibu hoja. Kama wewe unazijua vizuri cable za TZ basi ungezijua zile cable za Tanzania ambazo ni bora sana kuliko za huko China. Kuna cable za MCL, Kilimanjaro Cables, e.t.c. Sijui kama unazijua au ulikuwa unaropoka tu.DABAGA.
Kupenda ni swala binafsi.
Waya za umeme za kichina ndio zinajunguza nyumba kwa wingi sana aiku hizi kutokana na ubora hafifu!
Kama una caliper kapime hizo waya uone kama utapata kipimo kilichoandikwa.
Hahaaaaa kumbe jamaa anamiliki kibanda cha chips!! Ndo maana mida hii simuoni aki comment. Mida hindouwa wanaanza kumenya chips nakuandaa goli lamauzo.Uko wapi muuza chips.??Kama ulienda kufanya shopping kwa ajili ya kibanda chako cha kuuza chips ulitegemea kupata nini zaidi ya hizo chill na tomato sauces?
Unaweza ukapima na caliper ukapata cross-section area iliyotajwa lakini conductivity yake ipo pure kama kuna impurities, hivyo usikariri caliper na brah brah zingine ukazani utakuwa umejibu hoja. Kama wewe unazijua vizuri cable za TZ basi ungezijua zile cable za Tanzania ambazo ni bora sana kuliko za huko China. Kuna cable za MCL, Kilimanjaro Cables, e.t.c. Sijui kama unazijua au ulikuwa unaropoka tu.
BAWACHA leo umepotea njia, unaumia sana ukiona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya Magufuli. Utapasuka moyo kwa wivu wa kijinga. Hautakuja ufanikiwe kumuingiza madarakani huyo unayemtaka ktk miaka 10 tangu Nov 2015. Mambo yenu ya kichama nenda kule jukwaa la siasa la wabongo. Kule BAWACHA wenzio wa kukupa support kupinga maendeleo wapo wengi, huoni humu almost upo peke yako???!!!Mnajisifu sana ndio maana tunakupigeni za mbavu!!
Wakati mnanunua ndege mlikuwa na maneno y shombo sana!!!
Sasa ona kwenye nchi yenye watu wengi zaidi duniani baada china imechemsha nyinyi mnaenda kununua ndege "kesh"
Likewise viwanda mnavyoviongelea ni vya kudumaza akili za watu wa nchi hii.
Msituambukize ujinga.
Conductivity ni tofauti na resistivity, msingi wa hoja yangu si conductive reactance, majengo mengi yanaungua kwa sababu cables haziwezi beba load within their capability.Unaweza ukapima na caliper ukapata cross-section area iliyotajwa lakini conductivity yake ipo pure kama kuna impurities, hivyo usikariri caliper na brah brah zingine ukazani utakuwa umejibu hoja. Kama wewe unazijua vizuri cable za TZ basi ungezijua zile cable za Tanzania ambazo ni bora sana kuliko za huko China. Kuna cable za MCL, Kilimanjaro Cables, e.t.c. Sijui kama unazijua au ulikuwa unaropoka tu.
"tangu since" 😀😀BAWACHA leo umepotea njia, unaumia sana ukiona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya Magufuli. Utapasuka moyo kwa wivu wa kijinga. Hautakuja ufanikiwe kumuingiza madarakani huyo unayemtaka ktk miaka 10 tangu since Nov 2015. Mambo yenu ya kichama nenda kule jukwaa la siasa la wabongo. Kule BAWACHA wenzio wa kukupa support kupinga maendeleo wapo wengi, huoni humu almost upo peke yako???!!!
Jamaa yenyu kasema wanaume muolewe ili kuharakisha maendeleo.Kama ulienda kufanya shopping kwa ajili ya kibanda chako cha kuuza chips ulitegemea kupata nini zaidi ya hizo chill na tomato sauces?
Tutafanye nini kaka na ndio ndugu zetu hawa.. ila ndugu wengine stress au jipu kwa lugha ya uncle Magu yaani wanatamani tubaki maskini ili wapate pa kujifarijia kwa umaskini waoHehehe wee jamaa 'tunakupigeni'
Its January in the post not June, check date before reply.hongera TZ...but this doenst mean anythng...get this data for a period of about 5 years then that will probably make a lot more sense...some countries perform poorer or better according to what is going on in those particular nations...for instance, in kenya, it is an election year..things tend to slow down in elections years and pick up after the elections are done...thats why one year data is just inadequate...
Jamaa yenyu kasema wanaume muolewe ili kuharakisha maendeleo.
Umetakiwa kupongeza agizo muolewe ilikuongeza ufanisi.Naona muuza chips umeludi kivingine. !!Keds TLD kiwanda cha detergent cha Kleensoft cha pili Africa baada ya Ghana. Kutengeneza ajira 2,500. Kitakuwa kiwanda kikubwa cha kutengeneza sabuni za Kleensoft East and Central Africa pamoja nakuudumia soko la East and Central Africa. Kipo chini ya Sunda International( kleensoft)View attachment 533235View attachment 533235 View attachment 533236
Hapo ndipo ulipofikia uwezo wako wa kujibu hoja BAWACHA? FYI, Wanted to write in english but I changed my mind somewhere along the line, edited my phrase and I forgot to delete the word "since". Satisfied now?"tangu since" 😀😀
Mimi kizungu sijui mkuu!Hapo ndipo ulipofikia uwezo wako wa kujibu hoja BAWACHA? FYI, Wanted to write in english but I changed my mind somewhere along the line, edited my phrase and I forgot to delete the word "since". Satisfied now?