- Thread starter
- #61
Touko Garments. Wamesha fikisha jumla ya viwanda vitatu Dar. Nawanajenga vingine Kumi(10) sehemu tofauti nchini.Magufuli hoyee
Mnajisifu sana ndio maana tunakupigeni za mbavu!!
Wakati mnanunua ndege mlikuwa na maneno y shombo sana!!!
Sasa ona kwenye nchi yenye watu wengi zaidi duniani baada china imechemsha nyinyi mnaenda kununua ndege "kesh"
Likewise viwanda mnavyoviongelea ni vya kudumaza akili za watu wa nchi hii.
Msituambukize ujinga.