Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

Hahahaha Mombasa brighter than Dar is Slum halafu naona KENYA is brighter hapa EAC kuwazidi ndugu zetu 1350MW yani jamaa kapost ushahidi wa kujidhalilisha.
Bila Tanzania East Africa would be truly a dark place....🤣🤣🤣Endeleeni kutuletea data za makaratasi...Muogope Mungu na Technology???🤣🤣🤣😅😅Satellite haidanganyi..🤣🤣🤣 Endelea na story zako za Mombasa na Nairobi wakati umekimbia Battle😅😅😅🤣🤣🤣🤣
 
Naona wamehepa thread sasa watarudi hapa na kusema hiyo satellite image katengenezwa na Wakenya. mulisaaa
Nani kahepa thread😅😅😅 Unaomba iwe hivyo...!! 😅😅😅 Hamuwezi shindana na TZ..Kumbe umeme wenu upo kwenye makaratasi hau tumiki...Investors wanakula ile tunaita capacity charge..😅😅😅🤣🤣
 
Satellite haidanganyi.....Angalia distribution ya umeme kati ya TZ na Kenya😅😅😅🤣🤣🤣 Dar es salaam battle mumekimbia baada ya kushindwa lakini bila haibu bado unaitaja...🤣🤣🤣
 
A satellite image dated to 2010.
Currently 70%of Kenyans have access to electricity as compared to less than half of Tanzanians .
That is an undisputed fact.
Walio gizani no ninyi!!
Kwa hiyo Satellite ina danganya....!!!🤣🤣🤣😅😅😅From 2010 Tanzania ilikuwa imehamia dunia nyingine..?? Zero brain in the making😅😅😅
 
Count the number of Dots in TZ and KE...😅😅😅Tanzania has22 real dots Kenya has 14 dots 🤣🤣🤣😅😅😅
 
Satellite haidanganyi.....Angalia distribution ya umeme kati ya TZ na Kenya😅😅😅🤣🤣🤣 Dar es salaam battle mumekimbia baada ya kushindwa lakini bila haibu bado unaitaja...🤣🤣🤣

Wewe unaangalia satellite gani, chunguza kwa makini hiyo picha uliyoleta humu, tatizo wengi wenu huwa hata hamjui mipaka hivyo nitakuelewa kinachokuchanganya.
 
A
Satellite imeumbua watu,,kumbe kelele zote umeme mumeweka mijini tu..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu umeme wa Kenya upo chini ya private Investors...!! Kwa hiyo sio kweli kuwa wanatumia umeme wote ule😅😅😅Alafu wanakwambia they are developed🤣🤣🤣
 
Wewe unaangalia satellite gani, chunguza kwa makini hiyo picha uliyoleta humu, tatizo wengi wenu huwa hata hamjui mipaka hivyo nitakuelewa kinachokuchanganya.
Kenya has 14 dots whils Tanzania has 22 Dots..🤣🤣Unakimbilia mipaka tena😅😅😅🤣🤣🤣🤣
Muogope Mungu na Technology...Sio mimi ni Satellite...😅😅😅👇👇👇

Unapo ona black sana hiyo ni lakes...Penye 2 Dots ni Arusha na Chini after Mombasa next dot ni Tanga😅😅😅
 
Ungeanza mwanzo na kuiliza Wakenya waishia wapi, ungegundua kule wanakoishi ndo huko unakoona mataa mengi.....

Kila siku hua mkidai Kenyatta anamiliki ardhi yote Kenya hua nawaambia karibia 90% ya wakenya wanaishi ndani ya 30% ya Kenya landmass (ikiwemo hayo mashamba ya Kenyatta) na huko kwengine si watu wengi wanakoishi, mwanzo hizo sehemu hua zinajulikana kama community land ambapo jamii nzima inamiliki Hilo eneo... lakini hua hamtaki kusikia....


Sasa fananisha hio picha ya stima na hii picha ya population density... Utaona maeneo hayo ya Mombasa,Nairobi, Central na Western ndo watu wengi wanaishi na yote yanang'aa usiku....



Hii picha ya 3D ndo inaonekana vizuri kabisa.. this is where you'll find a majority of Kenyans, huko kwengine ni sehemu kame watu 0.02 ndani ya square kilometer.
 

Wacha nikupe picha zilizochorwa ramani kabisa maana kama kawaida wengi wenu huwa hamjui hata jiografia, Kenya tunaishi eneo ndogo sana, lakin hata hilo eneo linazidi ukanda wote huu kwa maendeleo.

 
Mbona kaskazini mwa Kenya kuna watu wanaishi!! Wewe bila aibu unasema ni jangwa tupu na kutokua na umeme ni sahihi!! Hii mentality yakujiona baadhi yenu kutoka maeneo fulani fulani ni bora kuliko wengine inaitafuna sana Kenya (ukabila) na hapa imekutoka automaticaly. Ukabila uko deep sana kwenu, inabidi mfanye maombi ya kitaifa kukemea hilo pepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nikupe picha zilizochorwa ramani kabisa maana kama kawaida wengi wenu huwa hamjui hata jiografia, Kenya tunaishi eneo ndogo sana, lakin hata hilo eneo linazidi ukanda wote huu kwa maendeleo.

Kichaa ni kama Hana macho....umefanya vizuri kumchorea Hadi map ashike adabu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…