Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

Wacha ubishi wakijinga over 95% ya Kenya population iko concentrated upande wa chini ambayo ni asilima robo ya Kenya,nayo population ya 5% iko sparsely populated upande wa juu ambao no 3/4 ya ardhi ya Kenya....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hili ndiyo tatizo lenu! mbona ata Tz kuna mikoa ina ukame ila watu wamepelekewa maendeleo na mwisho shughuli za kiuchumi kunyanyuka na wingi wao kuongezeka. Hili tatizo lenu lina rudi nyuma sana, toka enzi za Mzee Jomo sera za uchumi ni za kibepari wote tunajua zina semaje! Mikoa kama Dodoma na Singida ingekua Kenya ingekua imechoka sana. Nyinyi hamjui kuna kilimo kina faa kwenye ardhi kavu. Mlipaswa mpeleke wataalamu kufundisha aina ya mazao yanayo kubali huko na kuwapelekea na mbegu. Halafu mnapeleka na viwanda kuchakata hayo mazao kuwapa soko la uhakika. Leo ata hiyo Turkana tungeona kataa kanawaka, Sasa mmewatenga na matokeo ya hiyo dhambi kumekua kichaka cha Al shaabab.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa unajiaibisha mwenyewe. Unaiaibisha nchi yako na wananchi wenzako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii hapa umefanyiwa uelewe. Jiografia ndio shida ama ujinga tu? [emoji23][emoji23]View attachment 987845
Mtaangaika sana...😅😅😅Kupitia hiyo picha najua umejua kuwa umeme Tanzania uko evenly distributed compared to Kenya...🤣🤣🤣 Pia nakuongezea hizi iliuweze kuona vizuri zaidi...😅😅😅🤣🤣🤣👇👇👇 Leo hamjabaki salama 🤣🤣🤣😅😅😅
2019-01-06_18.01.05.jpg
2019-01-06_18.00.29.jpg
 
Shukuru hiyo ni yakitambo ikiletwa ya 2018 hutoamini. Kwenya swala la umeme kupelekwa vijijini ata watu wa upinzani hawaliongelei limetekelezwa kwa nguvu zote na kwa mafanikio. Wewe fikiria lengo la sasa hivi ni vijiji vyote kuwa na umeme watu wako site zoezi lina endelea. Mind you umeme Tz ni very cheap kuliko Kenya. Ushago ili uweze kuwa connected unalipa 10 Usd!! & @ less than 4 Usd unapata 80 units. Can this be possible in Kenya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuaje expensive na most wanaishi chini ya $2 a day?
Mkiwekewa bei ya Kenya familia mingi zitalala Kwa gizaa
 
Sasa hili ndiyo tatizo lenu! mbona ata Tz kuna mikoa ina ukame ila watu wamepelekewa maendeleo na mwisho shughuli za kiuchumi kunyanyuka na wingi wao kuongezeka. Hili tatizo lenu lina rudi nyuma sana, toka enzi za Mzee Jomo sera za uchumi ni za kibepari wote tunajua zina semaje! Mikoa kama Dodoma na Singida ingekua Kenya ingekua imechoka sana. Nyinyi hamjui kuna kilimo kina faa kwenye ardhi kavu. Mlipaswa mpeleke wataalamu kufundisha aina ya mazao yanayo kubali huko na kuwapelekea na mbegu. Halafu mnapeleka na viwanda kuchakata hayo mazao kuwapa soko la uhakika. Leo ata hiyo Turkana tungeona kataa kanawaka, Sasa mmewatenga na matokeo ya hiyo dhambi kumekua kichaka cha Al shaabab.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano wakawa hawaoni vizuri...😅😅😅Ngoja ni zoom...😅😅😅👇👇👇
2019-01-06_18.08.12.jpg
 
Nachapwa...???🤣🤣🤣[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Naona mtafuta pakutokea 🤣🤣🤣[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Technology haijawahi danganya. View attachment 987838

navo wakubali wakenya wata kwambia kwenye hiyo picha hapo ni kenya sio tanzania.kama wameweza kwa mlima kilimanjaro,kiswahili,wasanii maana wote wanaoa kenya sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
The satellite image shows Kenya is almost like Uganda during the night....The dots are evenly distributed in Tanzania..The picture shows Tanzania has a better life than Kenya...Kumbe Kenya umeme upo Nairobi tu🤣🤣🤣 View attachment 987369
Bara la giza. Hivi central afrika ndio giza kiasi hicho?
 
Here we go again!! Kenya mnaitaji msaada wa kiakili, honestly nawaonea huruma sana. Hivi unajua bei ya umeme U.S ni kiasi gani? Elimu × 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio US tu...wafatilie bei ya umeme in all developed countries...😅😅🤣🤣 Hivi navyo waita zero brain in the making huwa unielewi...🤣🤣🤣
 
navo wakubali wakenya wata kwambia kwenye hiyo picha hapo ni kenya sio tanzania.kama wameweza kwa mlima kilimanjaro,kiswahili,wasanii maana wote wanaoa kenya sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu hawachomoki hapa 😅😅😅 Hesabu dots in Kenya and Tanzania 😅😅😅😅👇👇
2019-01-06_18.08.12.jpg
 
Sio US tu...wafatilie bei ya umeme in all developed countries...[emoji28][emoji28]🤣🤣 Hivi navyo waita zero brain in the making huwa unielewi...🤣🤣🤣
Hahaaa.. ngoja tuwaelimishe tu hivyo hivyo. Magu anapambana azidi kusha bei ila wakenya wanasherehekea Uhuruto kuwanyonya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichaa ni kama Hana macho....umefanya vizuri kumchorea Hadi map ashike adabu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ni Nairobi, ukitoka Nairobi huko kwengine ni machakani ndio maana hakuna mtu anataka kupatikana huko, check distribution ya maendeleo Tanzania, electricity access is everywhere due to the marginalised development.
 
Unatafuta pakutokea kwa kuleta uchawi..??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Technology nikitu mbaya sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] You guys mko na shida nyingi..Mko na source nyingi za umeme lakini haziwafikii walengwa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sioni kitu Tanzania madot ndogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti Tanzania na Kenya ni population distribution. Tanzania population is evenly distributed, while Kenya is highly concentrated in few areas. Kiufupi Tanzania hakuna sehemu kusikokuwa na watu
 
Back
Top Bottom