thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Sasa hili ndiyo tatizo lenu! mbona ata Tz kuna mikoa ina ukame ila watu wamepelekewa maendeleo na mwisho shughuli za kiuchumi kunyanyuka na wingi wao kuongezeka. Hili tatizo lenu lina rudi nyuma sana, toka enzi za Mzee Jomo sera za uchumi ni za kibepari wote tunajua zina semaje! Mikoa kama Dodoma na Singida ingekua Kenya ingekua imechoka sana. Nyinyi hamjui kuna kilimo kina faa kwenye ardhi kavu. Mlipaswa mpeleke wataalamu kufundisha aina ya mazao yanayo kubali huko na kuwapelekea na mbegu. Halafu mnapeleka na viwanda kuchakata hayo mazao kuwapa soko la uhakika. Leo ata hiyo Turkana tungeona kataa kanawaka, Sasa mmewatenga na matokeo ya hiyo dhambi kumekua kichaka cha Al shaabab.Wacha ubishi wakijinga over 95% ya Kenya population iko concentrated upande wa chini ambayo ni asilima robo ya Kenya,nayo population ya 5% iko sparsely populated upande wa juu ambao no 3/4 ya ardhi ya Kenya....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app