Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

Dot ndogo ndogo.. Yani ata Mombasa imechapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaongelea Kenya na Tanzania wewe unaongelea Mombasa...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Unatafuta pakutokea...πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Kama wewe ni mwanaume ludi kwenye battle ya Dar vs Nai na Mombasa yako...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Dar es salaam ni nchi nyingine kabisaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wacha ubishi wakijinga over 95% ya Kenya population iko concentrated upande wa chini ambayo ni asilima robo ya Kenya,nayo population ya 5% iko sparsely populated upande wa juu ambao no 3/4 ya ardhi ya Kenya....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia map umechorewa hapo juu na mk254 wacha kujifanya zuzu we boya ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nikupe picha zilizochorwa ramani kabisa maana kama kawaida wengi wenu huwa hamjui hata jiografia, Kenya tunaishi eneo ndogo sana, lakin hata hilo eneo linazidi ukanda wote huu kwa maendeleo.

Look at the distribution and compare with Tanzania...πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…Hapo najua somo limekuingia vizuri πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tanzania hakuna kitu labda Hizo ni moto ya wachawi usiku... Tudot tudogo dogo...mombasa Pekee imechapa Dar + Zanzibar .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A satellite image dated to 2010.
Currently 70%of Kenyans have access to electricity as compared to less than half of Tanzanians .
That is an undisputed fact.
Walio gizani no ninyi!!
Shukuru hiyo ni yakitambo ikiletwa ya 2018 hutoamini. Kwenya swala la umeme kupelekwa vijijini ata watu wa upinzani hawaliongelei limetekelezwa kwa nguvu zote na kwa mafanikio. Wewe fikiria lengo la sasa hivi ni vijiji vyote kuwa na umeme watu wako site zoezi lina endelea. Mind you umeme Tz ni very cheap kuliko Kenya. Ushago ili uweze kuwa connected unalipa 10 Usd!! & @ less than 4 Usd unapata 80 units. Can this be possible in Kenya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona una angaika sana..Dar es salaam has more population than Nairobi do you know that??...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… That means in Kenya the infrastracture is bot evenly distributed...Kila siku sisi husema Kenya imejengeka Nairobi, Kisumu na Mombasa..Sehemu nyingine ni Big ZERO
 
Hawa jamaa bila Tanzania, East Africa ingeonekana part of a dark continent...🀣🀣🀣 Alafu wana kwambia wako na umeme mwingi..Wasubili kuona maajabu ya Stiglers Gorge...🀣🀣🀣
 
Hawa jamaa bila Tanzania, East Africa ingeonekana part of a dark continent...🀣🀣🀣 Alafu wana kwambia wako na umeme mwingi..Wasubili kuona maajabu ya Stiglers Gorge...🀣🀣🀣
Leo umewaweza sana [emoji1] [emoji1] ukipata latest itakua tamu zaidi. Halafu taa zina ambaa ambaa kwenye njia ya reli ya kati. Sasa SGR iki isha si itakua mataa kama ulaya [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna kitu labda Hizo ni moto ya wachawi usiku... Tudot tudogo dogo...mombasa Pekee imechapa Dar + Zanzibar .

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta pakutokea kwa kuleta uchawi..??🀣🀣🀣🀣 Technology nikitu mbaya sana...🀣🀣🀣🀣 You guys mko na shida nyingi..Mko na source nyingi za umeme lakini haziwafikii walengwa...🀣🀣🀣
 
Wacha ubishi wakijinga over 95% ya Kenya population iko concentrated upande wa chini ambayo ni asilima robo ya Kenya,nayo population ya 5% iko sparsely populated upande wa juu ambao no 3/4 ya ardhi ya Kenya....

Sent using Jamii Forums mobile app
Do you know that Dar es salaam is more populated than Nairobi??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Swala la population haliwezi kukuokoa katika hii mada...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu angalia usije ukawafanya majamaa wajinyonge...🀣🀣🀣🀣 Twende taratibu...huko umefika mbaliπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Leo umewaweza sana [emoji1] [emoji1] ukipata latest itakua tamu zaidi. Halafu taa zina ambaa ambaa kwenye njia ya reli ya kati. Sasa SGR iki isha si itakua mataa kama ulaya [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkenya mmoja amesema Kenya wakubali for once kuwa wako chiniπŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo umewaweza sana [emoji1] [emoji1] ukipata latest itakua tamu zaidi. Halafu taa zina ambaa ambaa kwenye njia ya reli ya kati. Sasa SGR iki isha si itakua mataa kama ulaya [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaharibia bangi jina
 
Mkuu angalia usije ukawafanya majamaa wajinyonge...🀣🀣🀣🀣 Twende taratibu...huko umefika mbali[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaaa.. najua wataenda ku google nakuumia roho. Kwa Africa nazani ni nchi chache zina weza kuwa na maisha kama ya TZ. Matunda ya ujamaa ndiyo haya sasa. Wao huko Turkana hawawezi peleka umeme kwa kuwa ata gharama za ku connect watu zitawapiga chenga achilia mbali bei za units.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Kichaa ni kama Hana macho....umefanya vizuri kumchorea Hadi map ashike adabu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni aibu kuwa anazidi kujivua...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Where are the dots evenly distributed btn TZ and KE...???🀣🀣🀣🀣 Nakuwekea Map vizuri..πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Jamaa unajiaibisha mwenyewe. Unaiaibisha nchi yako na wananchi wenzako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni aibu kuwa anazidi kujivua...[emoji28][emoji28][emoji28]Where are the dots evenly distributed btn TZ and KE...???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakuwekea Map vizuri..[emoji28][emoji28][emoji28] View attachment 987841
Hii hapa umefanyiwa uelewe. Jiografia ndio shida ama ujinga tu? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…