- Thread starter
- #41
Wazoee huyo ndo Kenya..Walisha sema BRT Buses tume nunua kwao..๐ ๐ ๐ ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuu uongo hadi Burundi watuzidi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazoee huyo ndo Kenya..Walisha sema BRT Buses tume nunua kwao..๐ ๐ ๐ ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuu uongo hadi Burundi watuzidi!!
Majority of Kenyan beberus are living in Nairobi!
Tunaongelea Kenya na Tanzania wewe unaongelea Mombasa...๐ ๐ ๐ Unatafuta pakutokea...๐ ๐ ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Kama wewe ni mwanaume ludi kwenye battle ya Dar vs Nai na Mombasa yako...๐ ๐ ๐ Dar es salaam ni nchi nyingine kabisa๐ ๐ ๐
Wacha ubishi wakijinga over 95% ya Kenya population iko concentrated upande wa chini ambayo ni asilima robo ya Kenya,nayo population ya 5% iko sparsely populated upande wa juu ambao no 3/4 ya ardhi ya Kenya....Mbona kaskazini mwa Kenya kuna watu wanaishi!! Wewe bila aibu unasema ni jangwa tupu na kutokua na umeme ni sahihi!! Hii mentality yakujiona baadhi yenu kutoka maeneo fulani fulani ni bora kuliko wengine inaitafuna sana Kenya (ukabila) na hapa imekutoka automaticaly. Ukabila uko deep sana kwenu, inabidi mfanye maombi ya kitaifa kukemea hilo pepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia map umechorewa hapo juu na mk254 wacha kujifanya zuzu we boya ...Tunaongelea Kenya na Tanzania wewe unaongelea Mombasa...[emoji28][emoji28][emoji28]Unatafuta pakutokea...[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama wewe ni mwanaume ludi kwenye battle ya Dar vs Nai na Mombasa yako...[emoji28][emoji28][emoji28]Dar es salaam ni nchi nyingine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Look at the distribution and compare with Tanzania...๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ Hapo najua somo limekuingia vizuri ๐ ๐ ๐ ๐Wacha nikupe picha zilizochorwa ramani kabisa maana kama kawaida wengi wenu huwa hamjui hata jiografia, Kenya tunaishi eneo ndogo sana, lakin hata hilo eneo linazidi ukanda wote huu kwa maendeleo.
![]()
Tanzania hakuna kitu labda Hizo ni moto ya wachawi usiku... Tudot tudogo dogo...mombasa Pekee imechapa Dar + Zanzibar .Tunaongelea Kenya na Tanzania wewe unaongelea Mombasa...[emoji28][emoji28][emoji28]Unatafuta pakutokea...[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama wewe ni mwanaume ludi kwenye battle ya Dar vs Nai na Mombasa yako...[emoji28][emoji28][emoji28]Dar es salaam ni nchi nyingine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Shukuru hiyo ni yakitambo ikiletwa ya 2018 hutoamini. Kwenya swala la umeme kupelekwa vijijini ata watu wa upinzani hawaliongelei limetekelezwa kwa nguvu zote na kwa mafanikio. Wewe fikiria lengo la sasa hivi ni vijiji vyote kuwa na umeme watu wako site zoezi lina endelea. Mind you umeme Tz ni very cheap kuliko Kenya. Ushago ili uweze kuwa connected unalipa 10 Usd!! & @ less than 4 Usd unapata 80 units. Can this be possible in Kenya!!A satellite image dated to 2010.
Currently 70%of Kenyans have access to electricity as compared to less than half of Tanzanians .
That is an undisputed fact.
Walio gizani no ninyi!!
Naona una angaika sana..Dar es salaam has more population than Nairobi do you know that??...๐ ๐ ๐ That means in Kenya the infrastracture is bot evenly distributed...Kila siku sisi husema Kenya imejengeka Nairobi, Kisumu na Mombasa..Sehemu nyingine ni Big ZEROUngeanza mwanzo na kuiliza Wakenya waishia wapi, ungegundua kule wanakoishi ndo huko unakoona mataa mengi.....
Kila siku hua mkidai Kenyatta anamiliki ardhi yote Kenya hua nawaambia karibia 90% ya wakenya wanaishi ndani ya 30% ya Kenya landmass (ikiwemo hayo mashamba ya Kenyatta) na huko kwengine si watu wengi wanakoishi, mwanzo hizo sehemu hua zinajulikana kama community land ambapo jamii nzima inamiliki Hilo eneo... lakini hua hamtaki kusikia....
Sasa fananisha hio picha ya stima na hii picha ya population density... Utaona maeneo hayo ya Mombasa,Nairobi, Central na Western ndo watu wengi wanaishi na yote yanang'aa usiku....
View attachment 987718View attachment 987719View attachment 987720
Hii picha ya 3D ndo inaonekana vizuri kabisa.. this is where you'll find a majority of Kenyans, huko kwengine ni sehemu kame watu 0.02 ndani ya square kilometer.
View attachment 987721
Hawa jamaa bila Tanzania, East Africa ingeonekana part of a dark continent...๐คฃ๐คฃ๐คฃ Alafu wana kwambia wako na umeme mwingi..Wasubili kuona maajabu ya Stiglers Gorge...๐คฃ๐คฃ๐คฃMbona kaskazini mwa Kenya kuna watu wanaishi!! Wewe bila aibu unasema ni jangwa tupu na kutokua na umeme ni sahihi!! Hii mentality yakujiona baadhi yenu kutoka maeneo fulani fulani ni bora kuliko wengine inaitafuna sana Kenya (ukabila) na hapa imekutoka automaticaly. Ukabila uko deep sana kwenu, inabidi mfanye maombi ya kitaifa kukemea hilo pepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umewaweza sana [emoji1] [emoji1] ukipata latest itakua tamu zaidi. Halafu taa zina ambaa ambaa kwenye njia ya reli ya kati. Sasa SGR iki isha si itakua mataa kama ulaya [emoji23] [emoji23]Hawa jamaa bila Tanzania, East Africa ingeonekana part of a dark continent...๐คฃ๐คฃ๐คฃ Alafu wana kwambia wako na umeme mwingi..Wasubili kuona maajabu ya Stiglers Gorge...๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Unatafuta pakutokea kwa kuleta uchawi..??๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Technology nikitu mbaya sana...๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ You guys mko na shida nyingi..Mko na source nyingi za umeme lakini haziwafikii walengwa...๐คฃ๐คฃ๐คฃTanzania hakuna kitu labda Hizo ni moto ya wachawi usiku... Tudot tudogo dogo...mombasa Pekee imechapa Dar + Zanzibar .
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you know that Dar es salaam is more populated than Nairobi??๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ Swala la population haliwezi kukuokoa katika hii mada...๐ ๐ ๐Wacha ubishi wakijinga over 95% ya Kenya population iko concentrated upande wa chini ambayo ni asilima robo ya Kenya,nayo population ya 5% iko sparsely populated upande wa juu ambao no 3/4 ya ardhi ya Kenya....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia usije ukawafanya majamaa wajinyonge...๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Twende taratibu...huko umefika mbali๐ ๐ ๐Shukuru hiyo ni yakitambo ikiletwa ya 2018 hutoamini. Kwenya swala la umeme kupelekwa vijijini ata watu wa upinzani hawaliongelei limetekelezwa kwa nguvu zote na kwa mafanikio. Wewe fikiria lengo la sasa hivi ni vijiji vyote kuwa na umeme watu wako site zoezi lina endelea. Mind you umeme Tz ni very cheap kuliko Kenya. Ushago ili uweze kuwa connected unalipa 10 Usd!! & @ less than 4 Usd unapata 80 units. Can this be possible in Kenya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkenya mmoja amesema Kenya wakubali for once kuwa wako chini๐ ๐ ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Leo umewaweza sana [emoji1] [emoji1] ukipata latest itakua tamu zaidi. Halafu taa zina ambaa ambaa kwenye njia ya reli ya kati. Sasa SGR iki isha si itakua mataa kama ulaya [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaharibia bangi jinaLeo umewaweza sana [emoji1] [emoji1] ukipata latest itakua tamu zaidi. Halafu taa zina ambaa ambaa kwenye njia ya reli ya kati. Sasa SGR iki isha si itakua mataa kama ulaya [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachapwa...???๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ ๐ Naona mtafuta pakutokea ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐Technology haijawahi danganya.
Hahaaa.. najua wataenda ku google nakuumia roho. Kwa Africa nazani ni nchi chache zina weza kuwa na maisha kama ya TZ. Matunda ya ujamaa ndiyo haya sasa. Wao huko Turkana hawawezi peleka umeme kwa kuwa ata gharama za ku connect watu zitawapiga chenga achilia mbali bei za units.Mkuu angalia usije ukawafanya majamaa wajinyonge...๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Twende taratibu...huko umefika mbali[emoji28][emoji28][emoji28]
Huoni aibu kuwa anazidi kujivua...๐ ๐ ๐ Where are the dots evenly distributed btn TZ and KE...???๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Nakuwekea Map vizuri..๐ ๐ ๐Kichaa ni kama Hana macho....umefanya vizuri kumchorea Hadi map ashike adabu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa umefanyiwa uelewe. Jiografia ndio shida ama ujinga tu? [emoji23][emoji23]Huoni aibu kuwa anazidi kujivua...[emoji28][emoji28][emoji28]Where are the dots evenly distributed btn TZ and KE...???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakuwekea Map vizuri..[emoji28][emoji28][emoji28] View attachment 987841