Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

Wacha ubishi wakijinga over 95% ya Kenya population iko concentrated upande wa chini ambayo ni asilima robo ya Kenya,nayo population ya 5% iko sparsely populated upande wa juu ambao no 3/4 ya ardhi ya Kenya....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hili ndiyo tatizo lenu! mbona ata Tz kuna mikoa ina ukame ila watu wamepelekewa maendeleo na mwisho shughuli za kiuchumi kunyanyuka na wingi wao kuongezeka. Hili tatizo lenu lina rudi nyuma sana, toka enzi za Mzee Jomo sera za uchumi ni za kibepari wote tunajua zina semaje! Mikoa kama Dodoma na Singida ingekua Kenya ingekua imechoka sana. Nyinyi hamjui kuna kilimo kina faa kwenye ardhi kavu. Mlipaswa mpeleke wataalamu kufundisha aina ya mazao yanayo kubali huko na kuwapelekea na mbegu. Halafu mnapeleka na viwanda kuchakata hayo mazao kuwapa soko la uhakika. Leo ata hiyo Turkana tungeona kataa kanawaka, Sasa mmewatenga na matokeo ya hiyo dhambi kumekua kichaka cha Al shaabab.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa unajiaibisha mwenyewe. Unaiaibisha nchi yako na wananchi wenzako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii hapa umefanyiwa uelewe. Jiografia ndio shida ama ujinga tu? [emoji23][emoji23]View attachment 987845
Mtaangaika sana...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Kupitia hiyo picha najua umejua kuwa umeme Tanzania uko evenly distributed compared to Kenya...🀣🀣🀣 Pia nakuongezea hizi iliuweze kuona vizuri zaidi...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Leo hamjabaki salama πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Itakuaje expensive na most wanaishi chini ya $2 a day?
Mkiwekewa bei ya Kenya familia mingi zitalala Kwa gizaa
 
Kuna uwezekano wakawa hawaoni vizuri...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Ngoja ni zoom...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Itakuaje expensive na most wanaishi chini ya $2 a day?
Mkiwekewa bei ya Kenya familia mingi zitalala Kwa gizaa
Kama ilivyo Kenya....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nachapwa...???🀣🀣🀣[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Naona mtafuta pakutokea 🀣🀣🀣[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Technology haijawahi danganya. View attachment 987838

navo wakubali wakenya wata kwambia kwenye hiyo picha hapo ni kenya sio tanzania.kama wameweza kwa mlima kilimanjaro,kiswahili,wasanii maana wote wanaoa kenya sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bara la giza. Hivi central afrika ndio giza kiasi hicho?
 
Here we go again!! Kenya mnaitaji msaada wa kiakili, honestly nawaonea huruma sana. Hivi unajua bei ya umeme U.S ni kiasi gani? Elimu Γ— 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio US tu...wafatilie bei ya umeme in all developed countries...πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£ Hivi navyo waita zero brain in the making huwa unielewi...🀣🀣🀣
 
navo wakubali wakenya wata kwambia kwenye hiyo picha hapo ni kenya sio tanzania.kama wameweza kwa mlima kilimanjaro,kiswahili,wasanii maana wote wanaoa kenya sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu hawachomoki hapa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hesabu dots in Kenya and Tanzania πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sio US tu...wafatilie bei ya umeme in all developed countries...[emoji28][emoji28]🀣🀣 Hivi navyo waita zero brain in the making huwa unielewi...🀣🀣🀣
Hahaaa.. ngoja tuwaelimishe tu hivyo hivyo. Magu anapambana azidi kusha bei ila wakenya wanasherehekea Uhuruto kuwanyonya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichaa ni kama Hana macho....umefanya vizuri kumchorea Hadi map ashike adabu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ni Nairobi, ukitoka Nairobi huko kwengine ni machakani ndio maana hakuna mtu anataka kupatikana huko, check distribution ya maendeleo Tanzania, electricity access is everywhere due to the marginalised development.
 
Mimi sioni kitu Tanzania madot ndogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti Tanzania na Kenya ni population distribution. Tanzania population is evenly distributed, while Kenya is highly concentrated in few areas. Kiufupi Tanzania hakuna sehemu kusikokuwa na watu
 
Kinacho shangaza sana ni kwamba Tanzania hadi ndani ya mapori Taa zimewaka.Stiglers ikianza kufua umeme simba na ndovu zitakuwa na mwangaza vichakani. Hongereni wa Tz. Mpo vizuri
Ahasante mkuuπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…