Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

Kenya is more dark at night compared to Tanzania..

Kuna mkenya mmoja amesema Kenya wakubali for once kuwa wako chiniπŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Hapo ndipo unabaini pia mobile phone / Internet penetration Tanzania ni juu zaidi ya Kenya.
 
Mombasa is brighter than Dar
Western Kenya (around L. Victoria ) is very bright
Nairobi acha and central also bright.
That's 90% Kenya's pop...not many Kenyans live in the north.
For Tz only small small dots... Dar has a better dot... Tumia macho Nugu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo brightness unayodai n ya Mombasa n ya Tanga..... Hyo dot iliofifia pemben ya dot ya Tanga ndo Mombasa..... Kenya umeme upo Nairobi Kisumu na Mombasa..... Consumption ya umeme Kenya n kubwa kuliko Tanzania lkn cinsumers wakubwa n viwanda vya miji mikubwa ya Kisumu, Nairobi na Mombasa.... Na sehem ya makazi ya miji hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sioni kitu Tanzania madot ndogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua huwezi hona...πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
2019-01-06_18.08.12.jpg
 
Tofauti Tanzania na Kenya ni population distribution. Tanzania population is evenly distributed, while Kenya is highly concentrated in few areas. Kiufupi Tanzania hakuna sehemu kusikokuwa na watu
Do you know that Dar es salaam has more population than Nairobi???πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hyo brightness unayodai n ya Mombasa n ya Tanga..... Hyo dot iliofifia pemben ya dot ya Tanga ndo Mombasa..... Kenya umeme upo Nairobi Kisumu na Mombasa..... Consumption ya umeme Kenya n kubwa kuliko Tanzania lkn cinsumers wakubwa n viwanda vya miji mikubwa ya Kisumu, Nairobi na Mombasa.... Na sehem ya makazi ya miji hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpatie hii map...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£
2019-01-06_18.08.12.jpg
 
Do you know that Dar es salaam has more population than Nairobi???πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Actually Dar has more people kwa kuwa ina larger city limits.. Mipaka ya jiji la Nairobi ni midogo, Mtu anayeishi Machakos huko kwenu yeye siyo wa Nairobi lakini unakuta kila siku ana commute kuja CBD kwenye issues zake, sasa Distance ya CBD mpaka Machakos ni almost Km 15.. Watu ambao wanategemea Mji wa Nairobi wengi hawaishi ndani ya City Limits, ndo maana Nairobi inaonekana ina watu wachache... There are people wanaishi Limuru wanafanya kazi Nairobi.

Dar kutoka North (Bunju mpaka CBD ni almost 20 kms) Kutoka Mbezi Luis mpaka CBD ni 21 km, Kutoka Cape Kimbiji mpaka CBD ni 47 km..
 
Waliomo ni vibaraka wa CHAMA CHA MAFISI na hawapendi ukweli.akina Melissa the drama queen

Let's see what open-minded tzedians say about power in tzView attachment 987853View attachment 987855View attachment 987856
Hivyo vikatuni vimeandaliwa na watu ambao hawajitambui, Sasa sisi tunawaleteaga maneno ya world class economist, the best in Africa, mbobezi na gwiji kabisa, Prof Ndii akiwaonesha namna Kenya ilivyo failed state bado mnabisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaharibia bangi jina
Mlikua mnasema SGR ya Tz inaelekea middle of no where sasa hiyo ramani imewaumbua. Nyie mmeishia kurundikana sehemu moja tu. Mchina atakua aliona hii satelite image akashtuka! [emoji23]
Tz SGR kwa mujibu wa hii picha kote inapo pita kuna activities za kutosha ndiyo maana numbers zina kubali kwa biashara ya ndani tu ila yenu bila UG hamtoboi.

Leta prove that the map is talking about electricity distribution.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Actually Dar has more people kwa kuwa ina larger city limits.. Mipaka ya jiji la Nairobi ni midogo, Mtu anayeishi Machakos huko kwenu yeye siyo wa Nairobi lakini unakuta kila siku ana commute kuja CBD kwenye issues zake, sasa Distance ya CBD mpaka Machakos ni almost Km 15.. Watu ambao wanategemea Mji wa Nairobi wengi hawaishi ndani ya City Limits, ndo maana Nairobi inaonekana ina watu wachache... There are people wanaishi Limuru wanafanya kazi Nairobi.

Dar kutoka North (Bunju mpaka CBD ni almost 20 kms) Kutoka Mbezi Luis mpaka CBD ni 21 km, Kutoka Cape Kimbiji mpaka CBD ni 47 km..
Wewe bwege kweli...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Even in Dar they are people residing in Pwani region but they are commutimg everuday to Dar CBD...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom