Utapiamlo wa akili ni tatizo kubwa kenya,
Ligi kuu ya Tanzania ilirudi kitambo tena serikali iliruhusu mashabiki na ligi imeisha na hatujaona hizi propaganda ulizoandika hapa,
Tanzania’s Premier League resumes after suspension due to COVID-19
Vyuo na kidato cha sita vilifunguliwa kitambo hadi sasa kidato cha sita walishafanya mitihani yao na wameshamaliza pia vyuo sasa hivi wanakaribia kumaliza mitihani yao wewe endelea kupiga mushene,
Vyuo vikuu, michezo, ‘Form six’ kufunguliwa Juni 1
Pia shule za msingi na sekondari walishafungua shule za wanaendelea na masomo kama kawaida na wazazi wanaruhusu watoto wao kwenda shule,
Nukta | Shule za msingi, sekondari kufunguliwa Juni 29
Sasa wewe unafaidika na nini kueneza hizi uwongo humu. Je, ni ile hali ya kenya kuiogopa Tanzania?
Kwa sababu nikikuambia uthibitishe vyote ulivyoandika hapa hakika hutowezi.