Kenya Just got ranked the best in Africa

stonembush

Senior Member
Joined
Mar 27, 2019
Posts
132
Reaction score
62
Screenshot_20190522-151043.png

Despite all the challenges in the country
 
Couple this with the news that Kenya is the first country in Africa to launch digital economy blueprint.
And the first go get into dirty scam with the Arabs [emoji13][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mumrudishie madini yake Mwarabu,
Ataf*i****ra nchi nzima[emoji4]
Mwarabu asiwape tabu, Kenya haina madini ayafuate Tanzania au Kongo huko ndio wanaopenda kuliwa.
 
You are back my son.,, You want to comment about kibera or you have something else new today
Unapoteza kujiamini kwanini?, Kenya ikifanya vizuri ni jambo zuri, huna sababu ya kuanza kuangalia pembeni na kujaribu kujitetea.
 
Kwenye teknolojia hamtuoni ng'o
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania tunaanzia vitu vya msingi, ndio tunaenda juu katika advanced level. Mfano mzuri ni kwamba, tulipopata Uhuru, tulitumia muda mrefu sana kujenga umoja wa taifa letu, tuliunganisha wananchi na kupunguza matabaka miongoni mwa watanzania ili kujenga taifa moja, baada ya kufanikiwa sasa hivi ndio tunajenga Uchumi juu ya msingi imara wa Amani, Upendo, Umoja na Ubinadamu.

Ninyi huko Kenya ni tofauti kabisa, ninyi hamjali wala kuzingatia vitu vya msingi, ninyi mnajali sana kuangalia juu. Ninyi vitu mnavyojivunia ni vitu vya level ya juu zaidi, ambavyo kwa nchi hizi za Africa, sio muhimu sana kwa sasa. Katika taifa ambako, chakula, maji safi na salama, malazi, Afya, madarasa na nadawati ni shida, ni ajabu kuona watu wanashabikia nchi kuwa na flyovers, skyscrapers, digital economy, vitu ambavyo vinapaswa kuwepo baada ya kukamilisha "Basic requirements"
 
Son.,,that's exactly why Kenya is ahead
 
Hahahaha leo umekubali sisi sio failed state bali middle income country
 
Tz challenges divide by 3 you will get challenges in Kenya
Challenges ambazo ni "man made", au zinazosababishwa na uzembe wa viongozi wenu, hiyo ni sehemu ya maendeleo (Negative development).

Njaa ni miongoni mwa udhahifu na uzembe mkubwa wa viongozi wenu, Galana Kulalu project, mngepungusa sana shida ya njaa, mumeshindwa kusimamia ule mradi, sasa mnakimbilia kujisifia " digital life ", na huku ukiambatanisha na neno " Despite of all challenges". Actually one of the biggest challenge ya wakenya ni kushabikia utawala dhahifu wa jubilee.
 
Back
Top Bottom