stonembush
Senior Member
- Mar 27, 2019
- 132
- 62
Despite all the challenges in the country
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And the first go get into dirty scam with the Arabs [emoji13][emoji125][emoji125][emoji125]Couple this with the news that Kenya is the first country in Africa to launch digital economy blueprint.
Couple this with the news that Kenya is the first country in Africa to launch digital economy blueprint.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87]Mumrudishie madini yake Mwarabu,
Ataf*i****ra nchi nzima[emoji4]
Which are these challenges that face Kenya exclusively?View attachment 1104643
Despite all the challenges in the country
You are back my son.,, You now want to comment about kibera or today you have something else new..,Which are these challenges that face Kenya exclusively?
Mwarabu asiwape tabu, Kenya haina madini ayafuate Tanzania au Kongo huko ndio wanaopenda kuliwa.Mumrudishie madini yake Mwarabu,
Ataf*i****ra nchi nzima[emoji4]
povuAnd the first go get into dirty scam with the Arabs [emoji13][emoji125][emoji125][emoji125]
Unapoteza kujiamini kwanini?, Kenya ikifanya vizuri ni jambo zuri, huna sababu ya kuanza kuangalia pembeni na kujaribu kujitetea.You are back my son.,, You want to comment about kibera or you have something else new today
Kwenye teknolojia hamtuoni ng'oWhich are these challenges that face Kenya exclusively?
The Top ranking in Africa for E-Services is MauritiusView attachment 1104643
Despite all the challenges in the country
Unapoteza kujiamini kwanini?, Kenya ikifanya vizuri ni jambo zuri, huna sababu ya kuanza kuangalia pembeni na kujaribu kujitetea.
Tz challenges divide by 3 you will get challenges in KenyaWhich are these challenges that face Kenya exclusively?
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania tunaanzia vitu vya msingi, ndio tunaenda juu katika advanced level. Mfano mzuri ni kwamba, tulipopata Uhuru, tulitumia muda mrefu sana kujenga umoja wa taifa letu, tuliunganisha wananchi na kupunguza matabaka miongoni mwa watanzania ili kujenga taifa moja, baada ya kufanikiwa sasa hivi ndio tunajenga Uchumi juu ya msingi imara wa Amani, Upendo, Umoja na Ubinadamu.Kwenye teknolojia hamtuoni ng'o
Where is Tanzania.,, alafu report ya 2010 ndio unaleta,?The Top ranking in Africa for E-Services is Mauritius
Dont rely on single review as your source of reference
Danganya NYANG'AU WENZAKO!!!!!
View attachment 1104697
Son.,,that's exactly why Kenya is aheadTofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania tunaanzia vitu vya msingi, ndio tunaenda juu katika advanced level. Mfano mzuri ni kwamba, tulipopata Uhuru, tulitumia muda mrefu sana kujenga umoja wa taifa letu, tuliunganisha wananchi na kupunguza matabaka miongoni mwa watanzania ili kujenga taifa moja, baada ya kufanikiwa sasa hivi ndio tunajenga Uchumi juu ya msingi imara wa Amani, Upendo, Umoja na Ubinadamu.
Ninyi huko Kenya ni tofauti kabisa, ninyi hamjali wala kuzingatia vitu vya msingi, ninyi mnajali sana kuangalia juu. Ninyi vitu mnavyojivunia ni vitu vya level ya juu zaidi, ambavyo kwa nchi hizi za Africa, sio muhimu sana kwa sasa. Katika taifa ambako, chakula, maji safi na salama, malazi, Afya, madarasa na nadawati ni shida, ni ajabu kuona watu wanashabikia nchi kuwa na flyovers, skyscrapers, digital economy, vitu ambavyo vinapaswa kuwepo baada ya kukamilisha "Basic requirements"
Hahahaha leo umekubali sisi sio failed state bali middle income countryTofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania tunaanzia vitu vya msingi, ndio tunaenda juu katika advanced level. Mfano mzuri ni kwamba, tulipopata Uhuru, tulitumia muda mrefu sana kujenga umoja wa taifa letu, tuliunganisha wananchi na kupunguza matabaka miongoni mwa watanzania ili kujenga taifa moja, baada ya kufanikiwa sasa hivi ndio tunajenga Uchumi juu ya msingi imara wa Amani, Upendo, Umoja na Ubinadamu.
Ninyi huko Kenya ni tofauti kabisa, ninyi hamjali wala kuzingatia vitu vya msingi, ninyi mnajali sana kuangalia juu. Ninyi vitu mnavyojivunia ni vitu vya level ya juu zaidi, ambavyo kwa nchi hizi za Africa, sio muhimu sana kwa sasa. Katika taifa ambako, chakula, maji safi na salama, malazi, Afya, madarasa na nadawati ni shida, ni ajabu kuona watu wanashabikia nchi kuwa na flyovers, skyscrapers, digital economy, vitu ambavyo vinapaswa kuwepo baada ya kukamilisha "Basic requirements"
Challenges ambazo ni "man made", au zinazosababishwa na uzembe wa viongozi wenu, hiyo ni sehemu ya maendeleo (Negative development).Tz challenges divide by 3 you will get challenges in Kenya