AahaaaaaaHata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
Ona vijana mlivyo wajinga hamfikirii mara 2 uliwahi kuona watu wanalima vitani?- Waje fasta na huku!
Shida ni pale bila ya refa wa nguvu kijana wa kawaida hatoonekana.
- Haya ni mambo ya kawaida, mkindoa udini na vita, kuwaonyesha vijana duniani kulivyo.
Tumia fursa hiyo mzee ukatembee mitaa ya Gaza kabla hujadondoshewa kitu kizito.Hiyo hela nzuri kwa kibarua, yaani mshahara unamzidi hata profesa wa UDOM......
HAMAS wasikupe tabu, nyie endeni Uarabuni sisi tunaenda Israel.
We waache wakatangulizwe uwanja wa vitaOna vijana mlivyo wajinga hamfikirii mara 2 uliwahi kuona watu wanalima vitani?
Sitanii mkuu hawa vijana wanapelekwa front tupo hapa tuombe uzima. Sikulikua na wafanyakazi mbona wamekimbia hujiulizi kwanini?We waache wakatangulizwe uwanja wa vita
Aahaaaa
Nenda na wewe ukatalii mitaa ya Gaza kabla hujadondokewa na kitu kizito.Mabwana zako wanafukuliwa kama panya wewe unapanic JF
Mbona nyinyi mnapeleka mabinti zetu huko uarabuni kufanya kazi za ndani tena kwa mishahara midogo na wanafanyiwa unyanyasaji.Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.
Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19
Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.
Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?
View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19
Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel
Acha longolongo nenda na wewe ukapambane na Hamas kama utaweza.Mbona nyinyi mnapeleka mabinti zetu huko uarabuni kufanya kazi za ndani tena kwa mishahara midogo na wanafanyiwa unyanyasaji.
View attachment 2837291
Tumia fursa hiyo mzee ukatembee mitaa ya Gaza kabla hujadondoshewa kitu kizito.
Nenda na wewe ukatalii mitaa ya Gaza kabla hujadondokewa na kitu kizito.
Hi mi Islamists sijui huwa inatumia tumbo kufikiri!!??Hawa hawana uwezo wa kudondosha chochote
Hao ni hamas political bureau ndio kazi yao kuongelea siasa. Hamas military hawana muda wa kuongea siasa
Gharama za maisha zipoje huko..usije tu kuconvert ukaiona 4m but unaweza kuta hapo kodi ni 60% bado matumiziHata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
Kwani hao wanaopelekwa si watu wazima, kwani wanalazimishwa kwenda? Serikali inatoa utaratibu wa anayetaka aombe kazi hizo, hakika watajitokeza watu wengiJiandae kwenda kupigana vita dhidi ya hamas hakuna mashamba wala bustani huko. Unalima vipi rocket zinapita kila baada ya dk.1 ?kweli ujinga mzigo.
Haya [emoji304]Shostie pole kwa kupanic
Kazi ya serikali ni kulinda usalama wa raia wake. Kuwa mtu mzima siyo sababu ndio maana wewe mtu mzima unaweza kuamua kujinyonga lakini serikali ikakushtaki. Israeli kwa sasa siyo salama kwa raia wetu kwenda kufanya kazi huko kuna vita.Kwani hao wanaopelekwa si watu wazima, kwani wanalazimishwa kwenda? Serikali inatoa utaratibu wa anayetaka aombe kazi hizo, hakika watajitokeza watu wengi
Haya [emoji304]