Kenya: Kareem Mandonga Mtu Kazi ashinda kwa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO

Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’

Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwenye mlipuko wa mabomu

#JFSports #JamiiForums
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.




maoni ya wakenya


The Mandonga Effect I don't remember a Kenyan Boxing match with such attendance and energy. Perhaps in the Robert Napunyi Wangila era Supreme Hype Master Don King has nothing on this guy

Ni kwasababu ya Mandonga leo hii wakenya wamejaa kuja kushuhudia ngumi, Sikumbuki pambano lolote la Kenya lililowahi kujaza watu wengi kama leo, Labda huko miaka ya nyuma enzi za Robert Wangila, Promo aliyopiga Mandonga ni noma

Mandonga advertised boxing. Which we had switched off from. He single handedly revived attachment of the game in Kenya.

Mandonga ameweza kuupa promo kubwa mchezo wa ngumi ambao wakenya tulishaupuuza, kwa uwezo wake mwenyewe kaweza kuwafanya wakenya wawe karibu na boxing.

I never even knew about wanyonyi. It is through mandonga that i knew about the event and wanyonyi.

Sikuwahi hata kumsikia huyo Wanyonyi aliepigana na Mandonga, Ni kwajili ya Mandonga ndio nimemjua pamoja na hili pambano
 
Uzushi umekuwa mwingi nchi hii. Kwanini unamuombea mwenzio mabaya. Pambano la mandonga ndio limekuwa main fight na kufanyika usiku wa manane, Ila mida ya saa nne watu walianza uzushi kuwa amepigwa.

Unafiki na uongo ni kitu kibaya sana

No information, no right to speak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…