Kenya: Kareem Mandonga Mtu Kazi ashinda kwa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi

KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO

Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’

Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwenye mlipuko wa mabomu

#JFSports #JamiiForums
View attachment 2481568
Hongera SANA kwake
 
Nasikitika sana maana Mandonga kushinda hayakuwa makubaliano yetu! 😱
 
Back
Top Bottom