Kenya: Kareem Mandonga Mtu Kazi ashinda kwa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi

Juzi nimekutana na semi usajili latest kabisa limeandikwa "MANDONGA MTU KAZI"

Promo ina nguvu sana na sina hakika kama anaye brand manager.
 
Jamaa kiutani utani anabeba watu hivi hivi.

Ila awakatae machawa, awekeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…