Kenya kids survive on dog milk

Kenya kids survive on dog milk

sijawah kusikia mtanzania anakula mizoga au maziwa ya mbwa heheh kwa hilo nimewapa salute mumefika level ya mwisho kabisa kwenye umaskini😀😀😀😀😀
Wajua wewe ni boya. .. Nimesema sawa sisi tunakunywa maziwa ya umbwa we unakubali mnakula supu ya kwato za mifugo na firigisi? ?Jibu tu
 
Asante kwa kukubali mnatumia kwato za wanyama. Jee ya kwato ya punda supu yake inaonja vipi?
Umekunywa maziwa ya Mbwa kwanza usikute una njaa unashindwa kuomba hela sema usaidiwe jamiiforum members ni kama familia we mzee
 
Umekunywa maziwa ya Mbwa kwanza usikute una njaa unashindwa kuomba hela sema usaidiwe jamiiforum members ni kama familia we mzee
Ina maana upendi chakula cha asili yako... .Xmas mwaka mpya pasaka kamata kwato ya punda supu ndizi na firigisi. ..😀😀😀😀😀😀😀
 
😀😀😀😀😀😀 mix em gather em.. . .Leo kitumbua kimeingia mchanga bongo lala
 
Ina maana upendi chakula cha asili yako... .Xmas mwaka mpya pasaka kamata kwato ya punda supu ndizi na firigisi. ..😀😀😀😀😀😀😀
Umekunywa maziwa ya Mbwa D 😀 😀 😀 usilete story nataka nikusaidie usione aibu kusaidiwa na mtu kutoka ldc
 
umesoma hio habari vzr??? 😀😀😀
nahofia mass graves tanzania, hivi mjini ni watu 4.2million suffering from hunger, ikubali hali yako usaidike. weka paybill number hapa uweze kutia kitu ndani leo.
 
nahofia mass graves tanzania, hivi mjini ni watu 4.2million suffering from hunger, ikubali hali yako usaidike. weka paybill number hapa uweze kutia kitu ndani leo.
nijibu swali hio habari umeisoma ukaielewa ???
usikwepe swali langu
 
Back
Top Bottom