Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleken Kenya hii mada, sie haituhusu. Mnashadadia sana vya Wakenya wakiwaita MAKASUKU mnachukia kumbe nyinyi wenyewe hamjitambui. Shut up
Sawa mkuu huku Sitimbi wacha tuendelee kuwekana sawa ....
Its my duty to teach a lesson to my kids/sisters/wife with one/more slaps PERIOD ....
Au bwana kahawa alimtafuna sasa wanapandishiana na mke mwenza?Kwa maelezo ya koffii ni kwamba alikua na malumbano na mke wake na amekua akimuonyesha madharau mara nyingi.
Sawa mkuu kila mtu huwa ana mlengo wake wa kuweka jambo fulani liende sawa so I can't convince you to start it and you can't convince me to stop it.We endelea Tu kupiga piga wanawali, ungekuwa kidume ungewapiga na wanaume wenzio wanaokukosea. Naona wangekutia adabu saa hizi ungekuwa na mapengo
Mopao, uzeee na Madawa ya Kulevya na pombe. Maisha Lazima yaende lessHuyo jamaa anazeeka vibaya Nahisi na mwenyewe ni mtumiaji wa dawa za kulevya
Hapo ndo unapo kosea mwanamke anaweza pigwa tuu, first jua chanzo kilicho mfanya jamaa ampigeHakuna chanzo chochote cha tatizo kinachompa mamlaka mtu wowote kumpiga mwingine, hasa mwanamke.
Huyu jamaa ameonesha kiwango kikubwa cha dharau kwa mwanamke,jeshi la polisi na raia waliokuwapo..Taarifa zaidi zitasaidia kisa na mkasa.
Swali lako ni la hovyo kabisa. Ulitaka teke limfikie ndio aitwe abuser! By the way, kitendo cha kuonyesha hasira na kusudio la kumpigia teke hilo linatosha kudhibitisha kuwa huyu jamaa hathamini wanawake. Wakenya hawanabudi kuboycort show zakeTeke hata halijamfikia vizuri
how come awe 'woman abuser' bila kujilikana chanzo cha tatizo?
Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport.
Bila kueleza sababu, lakini video hiyo inaonyesha kulikuwa na drama inaendelea, Kofi akiwa mwenye hasira alimfuata dada huyu na kumpiga teke hadharani. Cha kushangaza polisi pia wanaonekana kwenye video hiyo lakini hakuna aliyethubutu kuchukua hatua yoyote.
Watu wanajiuliza, kama anaweza kumpiga mwanamke mbela ya kamera hivi, je inakuwaje wakiwa huko mafichoni. Wakenya wengi wamekuja juu kwenye mitandao, wanadai huyu jamaa ni women abuser, hivyo kuna hashtag inaendelea kwenye Facebook na Twittwer sasa #KenyansboycottKoffiOlomide
Angalia video hapa:
Hayatuhusu.
Hayatuhusu.