KENYA: Koffi Olomide ampiga mateke mnenguaji wa kike baada ya kutua jijini Nairobi

KENYA: Koffi Olomide ampiga mateke mnenguaji wa kike baada ya kutua jijini Nairobi

Peleken Kenya hii mada, sie haituhusu. Mnashadadia sana vya Wakenya wakiwaita MAKASUKU mnachukia kumbe nyinyi wenyewe hamjitambui. Shut up
 
Peleken Kenya hii mada, sie haituhusu. Mnashadadia sana vya Wakenya wakiwaita MAKASUKU mnachukia kumbe nyinyi wenyewe hamjitambui. Shut up


Acha kujifanya unajua, anaejadiliwa hapa Ni Koffi Olomide na taarifa yako tu ni raia wa Congo sio wa Kenya. Na hili Ni jukwaa la Celebrity haijalishi Ni wa kutoka Uganda au Marekani JF haina mipaka. Hao Wakenya wanaokuita kasuku labda wanakuona wewe kweli Ni kasuku. Kuna Wakenya tunaishi nao na tunaheshimiana tu.
 
"If they can't deport the b%@# just boycott his concert, violence against woman is unacceptable."-DAILY POST
 
Kenya mbona kuna wanasiasa huwa wanawapiga wanawake hadharani lakini hakuna repercussion yoyote ile!

 
Sawa mkuu huku Sitimbi wacha tuendelee kuwekana sawa ....
Its my duty to teach a lesson to my kids/sisters/wife with one/more slaps PERIOD ....


We endelea Tu kupiga piga wanawali, ungekuwa kidume ungewapiga na wanaume wenzio wanaokukosea. Naona wangekutia adabu saa hizi ungekuwa na mapengo
 
Kwa maelezo ya koffii ni kwamba alikua na malumbano na mke wake na amekua akimuonyesha madharau mara nyingi.
 
We endelea Tu kupiga piga wanawali, ungekuwa kidume ungewapiga na wanaume wenzio wanaokukosea. Naona wangekutia adabu saa hizi ungekuwa na mapengo
Sawa mkuu kila mtu huwa ana mlengo wake wa kuweka jambo fulani liende sawa so I can't convince you to start it and you can't convince me to stop it.

Unadhani wanaume wenzangu wanakera kama wanawake?
 
From standard digital entertainment facebook page:

So apparently Koffi Olomide's current wife happened to be his dancer before getting hitched. So after getting married Koffi made her the Choreographer for the ladies in the band Quartier Latin (Koffi's band). So kuna vile ofcourse some chics believe they were better placed to be choreographers than Cindy, Koffi's wife. Now before travelling there were some issues when Cindy selected the dancers coming to Nairobi. Am informed Quartier Latin has a very big number of performers and when going for a trip to meet business logic the numbers are reduced. Now Cindy left out the girls rebelling against her leadership, some even meeting on their own to create their own routines but she would not leave out one of the best dancers, those who never miss a spot because they're extremely good. So this good dancer wouldn't shut up because her her "main bitches" were cut from the trip and her mouth would not stop. She spoke mostly in Congolese so my informer didn't understand everything. In the plane Koffi, his wife and a few big wigs like 3 in the band fly first class/business class as the rest fly the economy class. The yapping lady never stopped forcing Koffi to send one of his jamaas to ask the super dancer to stop. She did not... prompting the airline Steward to ask her to stop or she will be detained... (I don't know where but it worked). Finally they arrive in the hotbed of tribalism, tibim and team mafisi (my words). Koffi doesn't carry luggage (I mean...) so he walks out with his manager and his entourage. His wife has gone to get their bags cleared along with other members as Koffi goes to talk to the media when he is informed that his wife is being confronted by super dancer and my informer isn't sure these are his words... "I think huyo dame ali slap Cindy but I can't say for a fact but kulikua na confrontation hadi cops waka intervene". From the video you can hear some Custom officials saying "Walikua wakipigana wenyewe kwa wenyewe? So Koffi warned super dancer and told her to consider herself fired after this trip and walked away but the chic started speaking stuff in Congolese and french in the video you could see Koffi agitated and not talking to the media as if listening to something... well super dancer was yapping and Koffi was angry and walked back to where super dancer was and threw a kick which actually never got her properly as super dancer pushed her bag to block the kick from Koffi and when Koffi went for his second assault which was a slap, it was blocked by one of his main guys and the presence of the police intimidated him. Apparently the police are one Koffi's worst phobias all over the world and especially Africa. So ladies and gentlemen there you have it a story that you will never hear from the media or entertainment news. Well if someone did that to the woman I love I might react even worse. I KNOW IT US NOT POLITE TO HIT A WOMAN but trust me kuna point hufika utajipata ume do kitu hutaki kufanya. Not all killers in prison wanted to kill. Case scenario a man who kills a man who raped his daughter but the courts could not find evidence. So there you have it folks, you can chose to believe it or assume it's just a blogger.
 
Hakuna chanzo chochote cha tatizo kinachompa mamlaka mtu wowote kumpiga mwingine, hasa mwanamke.
Hapo ndo unapo kosea mwanamke anaweza pigwa tuu, first jua chanzo kilicho mfanya jamaa ampige
 
Huyu jamaa ameonesha kiwango kikubwa cha dharau kwa mwanamke,jeshi la polisi na raia waliokuwapo..Taarifa zaidi zitasaidia kisa na mkasa.

Tatizo la Koffi ana majivuno sana, kama anaweza kuonyesha temper tantrum in public tena kwenye nchi ya wageni, je, akiwa na ma dancers wake in private anawa treat vipi, si ndiyo balaa.
 
Hapo ndo unapo kosea mwanamke anaweza pigwa tuu, first jua chanzo kilicho mfanya jamaa ampige


We jamaa nilikuwa nakuamini sana lakini kwa comment hii, I hate to say it, nimekudharau sana. You have a lot to learn my friend.
 
Teke hata halijamfikia vizuri

how come awe 'woman abuser' bila kujilikana chanzo cha tatizo?
Swali lako ni la hovyo kabisa. Ulitaka teke limfikie ndio aitwe abuser! By the way, kitendo cha kuonyesha hasira na kusudio la kumpigia teke hilo linatosha kudhibitisha kuwa huyu jamaa hathamini wanawake. Wakenya hawanabudi kuboycort show zake
 
Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport.

Bila kueleza sababu, lakini video hiyo inaonyesha kulikuwa na drama inaendelea, Kofi akiwa mwenye hasira alimfuata dada huyu na kumpiga teke hadharani. Cha kushangaza polisi pia wanaonekana kwenye video hiyo lakini hakuna aliyethubutu kuchukua hatua yoyote.

Watu wanajiuliza, kama anaweza kumpiga mwanamke mbela ya kamera hivi, je inakuwaje wakiwa huko mafichoni. Wakenya wengi wamekuja juu kwenye mitandao, wanadai huyu jamaa ni women abuser, hivyo kuna hashtag inaendelea kwenye Facebook na Twittwer sasa ‪#‎KenyansboycottKoffiOlomide‬

Angalia video hapa:



Sikufanya makosa kumpenda na kumkubali 100% JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA ( JB Mpiana ) kwani huwa hana UPUUZI wa aina hii na sishangai ndiyo maana akawa Mwanamuziki ANAYEPENDWA na KUKUBALIKA Congo nzima na hasa wale tunaojua nini maana ya Muziki, Maadili na Kanuni zake.
 
Back
Top Bottom