Kenya: KRA intercepts gold worth Sh100 million at JKIA

Kenya: KRA intercepts gold worth Sh100 million at JKIA

Tunarukia issue gani, huko Mwanza mumelala vitu vinapita tu hadi vinadakwa JIKIA, hiyo nchi yenu kituko....Dhahabu yote hii iliwapita puani, ilhali mnahangaisha vijana kujenga kuta kwenye machimbo.

Swali ni dogo tu kwako, nani kawaambia KRA kama kuna mzigo? tafakari
 
Tunarukia issue gani, huko Mwanza mumelala vitu vinapita tu hadi vinadakwa JIKIA, hiyo nchi yenu kituko....Dhahabu yote hii iliwapita puani, ilhali mnahangaisha vijana kujenga kuta kwenye machimbo.
Angalia Mjinga. Hivi unajua silaha, mabomu na dawa zakulevya ambazo hupita kwa port za kenya hovyo kila siku?? Kahawa yenyewe huibwa humu nchini kenya inauzwa soko za nje kama KRA wamelala. This problem is global, you dont need to shout how good our so called Police & KRA are, infact labda mwenye shehena hilo hakufika bei ya hongo
 
Ila bongo tulizoea maisha ya ajabu sana! Magu kajitahidi lakini wapi! Wezi bado hawaamini kwamba mambo yamebadilika, tubadilike...
 
Angalia Mjinga. Hivi unajua silaha, mabomu na dawa zakulevya ambazo hupita kwa port za kenya hovyo kila siku?? Kahawa yenyewe huibwa humu nchini kenya inauzwa soko za nje kama KRA wamelala. This problem is global, you dont need to shout how good our so called Police & KRA are, infact labda mwenye shehena hilo hakufika bei ya hongo
You tell them...Its a Global problem..
 
You tell them...Its a Global problem..
Hata ugaidi ni global problem. Ndo maana Uganda, na Burundi pia! Wapo kule Somalia. Lakini nyie waoga na uswahili wenu, hakuna cha ziada huwa mnafanya zaidi ya kushangilia uovu wa alshabaab na kuiponda Kenya kuhusu Operation Linda Nchi. Pambaneni na hali yenu!
 
Hata ugaidi ni global problem. Ndo maana Uganda, na Burundi pia! Wapo kule Somalia. Lakini waoga uswahili wenu, hakuna cha ziada huwa mnafanya zaidi ya kushangilia uovu wa alshabaab na kuiponda Kenya kuhusu Operation Linda Nchi. Pambaneni na hali yenu!
Si kila vita mtu huingilia, Hata unapoishi ukisikia bibi ya jirani anapiga mayowe si lazma uingilie, unaweza pata si vita, ni mihemko ya ngono ilivyo noga. Vile vile,kenya hakuna vita na somali, utamu wa biashara ya makaa na sukari imenoga
 
Hueleweki, unaongea kama jirani yupi wa Kenya? Mrundi, mganda, mtanzania, mnyarwanda au msudi? Kwasababu najua akili hizi si za mhabeshi wala si za gaidi wa kisomali.
 
Bidhaa nyingi zinazoingia Zanzibar kupitia Mombasa port asilimia Kubwa ni Magendo na zina threaten Usalama Wa Tz.. Zikipitia DAR PORT zinakua salama zaidi na zinakua Monitored well..
hog wosh argument....weka ushahidi wa kuthibitisha madai yako hapa. yeyote anaweza payuka lolote mtandaoni....
 
Tunarukia issue gani, huko Mwanza mumelala vitu vinapita tu hadi vinadakwa JIKIA, hiyo nchi yenu kituko....Dhahabu yote hii iliwapita puani, ilhali mnahangaisha vijana kujenga kuta kwenye machimbo.
Mbona nyie wasomali na Ethiopia wanapita kwenu bila kujua tunakuja kuwakatia huku??
 
Mbona nyie wasomali na Ethiopia wanapita kwenu bila kujua tunakuja kuwakatia huku??

Wazamiaji wa Ethiopia huwa wanakwenda kuboresha maisha yao South, kama jinsi wabeba mabox wenu weni wamezamia huko, sasa nyie hujifanya kiherehere cha kuwakamata kamata.
Lakini hili la raslimali za nchi kubebwa inafaa iwatie uchungu, dhahabu na kila aina ya madini hutoroshwa kiulaini tu, mnaishia kubaki na mahandaki matupu.
 
Hata wangetorosha dhahabu kiasi gani Reserve bado ni Kubwa Sana.. Mpaka sasa dhahabu yote iliyochimbwa ni ⅓ tu ya Ya dhahabu yote, ndo maana kwa hiyo iliyobaki umeona Magufuli ametoa billion 65 kununua Radar zitakazochukua Picha zote za ndege na Watoroshaji Wa Dhahabu, Vilevile anajenga Ukuta plus Kujenga Smelters na Mitambo ya Kukata madini hapahapa Tz once everything is Completed there will be no more transportation of concentrated mineral sands outside the country, Kampuni zote zitakuja kununua Madini TZ.. Reforms zinahitaji muda, its a matter of time before we win the race..
 
Hii kali!!! How do mean kila abiria alikua na ndoo yako?

Umeadimika, hebu safiri kutokea Mwanza ukienda Dar, kuna samaki huwa zinauzwa kwa ndoo halafu kuna jinsi wanakufungashia, wakati wa kutoka pale JNIA, conveyor belt inazungusha hivyo vifurushi kila mtu anajichukulia cha kwake na kuzamia Dar.
 
Back
Top Bottom