mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Baada ya NASA kushindwa ushabik wako kwa KDF umekwisha na ukarudi na handle mpya.Mkikosana na mkeo hautoki nje na kuwatangazia majirani mnangombana.Huo ni ujinga...deal with your issues kama Mwanaume sio kulia lia hapa , uchaguzi hadi 2022 so put your house to order lest you cry for another five years again.Si kila vita mtu huingilia, Hata unapoishi ukisikia bibi ya jirani anapiga mayowe si lazma uingilie, unaweza pata si vita, ni mihemko ya ngono ilivyo noga. Vile vile,kenya hakuna vita na somali, utamu wa biashara ya makaa na sukari imenoga