pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Jamaa analinganisha upuuzi wa port ya Dar na port ya Mombasa.wazenji watalipinga sana hili
Ilipotoka.INAKUA MALI YA WAPI MKUU? TZ au KNY?
Watu ni wajinga sana humu ndani! Hiyo intelligence nani kawapa KRA?
Ndio hapo nashanga Wakenya wanvyo rukia hii issue.
Tunarukia issue gani, huko Mwanza mumelala vitu vinapita tu hadi vinadakwa JIKIA, hiyo nchi yenu kituko....Dhahabu yote hii iliwapita puani, ilhali mnahangaisha vijana kujenga kuta kwenye machimbo.
Angalia Mjinga. Hivi unajua silaha, mabomu na dawa zakulevya ambazo hupita kwa port za kenya hovyo kila siku?? Kahawa yenyewe huibwa humu nchini kenya inauzwa soko za nje kama KRA wamelala. This problem is global, you dont need to shout how good our so called Police & KRA are, infact labda mwenye shehena hilo hakufika bei ya hongoTunarukia issue gani, huko Mwanza mumelala vitu vinapita tu hadi vinadakwa JIKIA, hiyo nchi yenu kituko....Dhahabu yote hii iliwapita puani, ilhali mnahangaisha vijana kujenga kuta kwenye machimbo.
Wewe unadhani pale JKIA ni maigizo kama ya Mwanza ndo yanafanywa?Swali ni dogo tu kwako, nani kwaambia KRA kama kuna mzigo? tafakari
Haha, sawa nakubali. [emoji1]Wewe unadhani pale JKIA ni maigizo kama ya Mwanza ndo yanafanywa?
Haha, sawa nakubali. [emoji1]
You tell them...Its a Global problem..Angalia Mjinga. Hivi unajua silaha, mabomu na dawa zakulevya ambazo hupita kwa port za kenya hovyo kila siku?? Kahawa yenyewe huibwa humu nchini kenya inauzwa soko za nje kama KRA wamelala. This problem is global, you dont need to shout how good our so called Police & KRA are, infact labda mwenye shehena hilo hakufika bei ya hongo
Hata ugaidi ni global problem. Ndo maana Uganda, na Burundi pia! Wapo kule Somalia. Lakini nyie waoga na uswahili wenu, hakuna cha ziada huwa mnafanya zaidi ya kushangilia uovu wa alshabaab na kuiponda Kenya kuhusu Operation Linda Nchi. Pambaneni na hali yenu!You tell them...Its a Global problem..
Si kila vita mtu huingilia, Hata unapoishi ukisikia bibi ya jirani anapiga mayowe si lazma uingilie, unaweza pata si vita, ni mihemko ya ngono ilivyo noga. Vile vile,kenya hakuna vita na somali, utamu wa biashara ya makaa na sukari imenogaHata ugaidi ni global problem. Ndo maana Uganda, na Burundi pia! Wapo kule Somalia. Lakini waoga uswahili wenu, hakuna cha ziada huwa mnafanya zaidi ya kushangilia uovu wa alshabaab na kuiponda Kenya kuhusu Operation Linda Nchi. Pambaneni na hali yenu!
Hueleweki, unaongea kama jirani yupi wa Kenya? Mrundi, mganda, mtanzania, mnyarwanda au msudi? Kwasababu najua akili hizi si za mhabeshi wala si za gaidi wa kisomali.Si kila vita mtu huingilia, Hata unapoishi ukisikia bibi ya jirani anapiga mayowe si lazma uingilie, unaweza pata si vita, ni mihemko ya ngono ilivyo noga. Vile vile,kenya hakuna vita na somali, utamu wa biashara ya makaa na sukari imenoga
hog wosh argument....weka ushahidi wa kuthibitisha madai yako hapa. yeyote anaweza payuka lolote mtandaoni....Bidhaa nyingi zinazoingia Zanzibar kupitia Mombasa port asilimia Kubwa ni Magendo na zina threaten Usalama Wa Tz.. Zikipitia DAR PORT zinakua salama zaidi na zinakua Monitored well..
Mbona nyie wasomali na Ethiopia wanapita kwenu bila kujua tunakuja kuwakatia huku??Tunarukia issue gani, huko Mwanza mumelala vitu vinapita tu hadi vinadakwa JIKIA, hiyo nchi yenu kituko....Dhahabu yote hii iliwapita puani, ilhali mnahangaisha vijana kujenga kuta kwenye machimbo.
Mbona nyie wasomali na Ethiopia wanapita kwenu bila kujua tunakuja kuwakatia huku??
Hata wangetorosha dhahabu kiasi gani Reserve bado ni Kubwa Sana.. Mpaka sasa dhahabu yote iliyochimbwa ni ⅓ tu ya Ya dhahabu yote, ndo maana kwa hiyo iliyobaki umeona Magufuli ametoa billion 65 kununua Radar zitakazochukua Picha zote za ndege na Watoroshaji Wa Dhahabu, Vilevile anajenga Ukuta plus Kujenga Smelters na Mitambo ya Kukata madini hapahapa Tz once everything is Completed there will be no more transportation of concentrated mineral sands outside the country, Kampuni zote zitakuja kununua Madini TZ.. Reforms zinahitaji muda, its a matter of time before we win the race..Wazamiaji wa Ethiopia huwa wanakwenda kuboresha maisha yao South, kama jinsi wabeba mabox wenu weni wamezamia huko, sasa nyie hujifanya kiherehere cha kuwakamata kamata.
Lakini hili la raslimali za nchi kubebwa inafaa iwatie uchungu, dhahabu na kila aina ya madini hutoroshwa kiulaini tu, mnaishia kubaki na mahandaki matupu.
Hivi Mwanza hapo uwanja wa ndege bado samaki wanauzwa kwa ndoo, nilinunua nikielekea Dar yaani kila abiria alikua na ndoo lake.
Hii kali!!! How do mean kila abiria alikua na ndoo yako?