Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kenya itaanza kununua umeme kutoka Ethiopia. Hii inafuatia makubaliano ya power purchase agreement (PPA) kutiwa saini na nchi zote mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ken Gen haizambazi umeme majumbani hio ni kazi ya kplcKwahiyo kampuni ya Ethiopia inakuwa inaoperates ndani ya Kenya kama Ken Gen inavyofanya kufikisha mpaka majumbani? Au Ethiopia wanaiuzia umeme Ken Gen ambao wao ndio wanasambaza kwa wakenya.