Kenya Kufanya Majaribio ya dawa mbili kutoka USA kwa ajili ya Corona

Kenya Kufanya Majaribio ya dawa mbili kutoka USA kwa ajili ya Corona

Hizo zinatumika kwa Wamaarekani, hazijaanza kuja kwa sisi second or third class human beings ambao hatutumii ubongo kusaidia kwa chochote zaidi ya kuwa mzigo dunia hii.
Bora umefunguka,tatizo ubongo.
 
Hivi kati ya Waafrika, Wachina na Wahindi nani wamezaliana sana...?! Nachokiona kwako umesafishwa fikra...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sisi tunazaliana na kuwa mzigo kwa wengine, hao wanazaliana na kujitahidi kujibeba, sisi lazima tubebwe, leo hii bila aibu unakuta taifa la kiafrika likiomba misaada kutoka kwa mabeberu ilhali hao wapo kwenye misiba wanapigika kwa corona, yaani ni kama uwakute watu wanaomboleza na badala uwasaidie unawazungushia kibakuli.....
 
Hazijaja Afrika, lazima ziwafaidi waliozigundua wajilipe kutumai ubongo wao kabla hazijaja kwa sisi walalahoi..
Huko zilipo gunduliwa mpaka sasa washa dedi wangapi [emoji23][emoji23][emoji23]

Mungu awaponye.....

Sent using My COVID-19
 
Ndio swali la kjiuliza na kushukuru sana maana licha ya umaskini wetu Afrika, kirusi kimetukwepa na kwenda kuua wazungu, waajemi, waarabu, wahindi n.k.
Sio kimetukwepa Ndio Ilikua Mipango Ya Mungu Dhidi Yetu hao wanaojifanya Miungu watu wanaojikuta wamekamilika Wanakufa kama Majani Yakiangazi

Mungu awaponye....

Sent using My COVID-19
 
Hivi kati ya Waafrika, Wachina na Wahindi nani wamezaliana sana...?! Nachokiona kwako umesafishwa fikra...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Jamaa sijui anawaza Kwakutumia Akili Zipi Mpaka Kuna muda hua nawaza jamaa atakua kapandikizwa akili nawala sio akili zake hizi

Waafrika wote ulimwenguni uwachanganye hawawafikii WACHINA WAZUNGU WAHINDI kwaujumla wake jamaa sijui anakwamia wapi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Sisi tunazaliana na kuwa mzigo kwa wengine, hao wanazaliana na kujitahidi kujibeba, sisi lazima tubebwe, leo hii bila aibu unakuta taifa la kiafrika likiomba misaada kutoka kwa mabeberu ilhali hao wapo kwenye misiba wanapigika kwa corona, yaani ni kama uwakute watu wanaomboleza na badala uwasaidie unawazungushia kibakuli.....
Tatizo lako MKENYA umekua Brainwshed sana akijitoa MUFRIKA kutaka kujitegemea Hao mnawaona wana akili sana wanamuundia tume zengwe figisu wanamuondolea hata UHAI ikibidi ZIMBABWE waliamuandama MUGABE wakamjaza Njaa Mpaka sasa ZIMBABWE kama Sio DUNIANI

Siku WAAFRIKA kama wewe mkijakujaaliwa AKILI ZILO TIMAMU tunaweza KUENDELEA walau KIDUCHU

Sent using My COVID-19
 
Watu wenye Akili kama zako ndio wanafanya Africa isipige hatua, Akili hizi ndio zipo kwa viongozi wa Kenya, na Majority of Kenyans, Cowards.
Sisi tunazaliana na kuwa mzigo kwa wengine, hao wanazaliana na kujitahidi kujibeba, sisi lazima tubebwe, leo hii bila aibu unakuta taifa la kiafrika likiomba misaada kutoka kwa mabeberu ilhali hao wapo kwenye misiba wanapigika kwa corona, yaani ni kama uwakute watu wanaomboleza na badala uwasaidie unawazungushia kibakuli.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko zilipo gunduliwa mpaka sasa washa dedi wangapi [emoji23][emoji23][emoji23]

Mungu awaponye.....

Sent using My COVID-19

Dawa haigunduliwi na kuzalishwa kwa mamilioni kwa wiki moja, cha msingi ni kwamba Marekani ndio matumaini, na waajemi lazima wasalimu amri.
 
Sio kimetukwepa Ndio Ilikua Mipango Ya Mungu Dhidi Yetu hao wanaojifanya Miungu watu wanaojikuta wamekamilika Wanakufa kama Majani Yakiangazi

Mungu awaponye....

Sent using My COVID-19

Ina maana awe anawapiga hata waarabu na waajemi kule chimbuko la dini yenu.
 
Haujui dunia inavyoenda Mabeberu huwa wanapenda kuwategemea taifa likianza kuchomoka huwa wanaanza zengwe mara vikwazo, halafu pia na wewe naona unaamini huwezi kwenda bila kusaidiwa... pia unaamini WHO anakupenda sana hata zile dawa za Afrika mara nyingi naona unazibeza sana...
Sisi tunazaliana na kuwa mzigo kwa wengine, hao wanazaliana na kujitahidi kujibeba, sisi lazima tubebwe, leo hii bila aibu unakuta taifa la kiafrika likiomba misaada kutoka kwa mabeberu ilhali hao wapo kwenye misiba wanapigika kwa corona, yaani ni kama uwakute watu wanaomboleza na badala uwasaidie unawazungushia kibakuli.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako MKENYA umekua Brainwshed sana akijitoa MUFRIKA kutaka kujitegemea Hao mnawaona wana akili sana wanamuundia tume zengwe figisu wanamuondolea hata UHAI ikibidi ZIMBABWE waliamuandama MUGABE wakamjaza Njaa Mpaka sasa ZIMBABWE kama Sio DUNIANI

Siku WAAFRIKA kama wewe mkijakujaaliwa AKILI ZILO TIMAMU tunaweza KUENDELEA walau KIDUCHU

Sent using My COVID-19

Hao hao mnawaoba misaada hata wakati wana misiba kama wakati huu, miafrika laana.
 
Watu wenye Akili kama zako ndio wanafanya Africa isipige hatua, Akili hizi ndio zipo kwa viongozi wa Kenya, na Majority of Kenyans, Cowards.

Sent using Jamii Forums mobile app

Miafrika mivivu kazi kuomba omba hata kwa watu walio na misiba, umaskini, ujinga na kuzaliana pumbavu sana....waafrika ni mzigo dunia hii.
 
Hyo dawa si wangeanza kuitumia wamarekani wenyewe wapone
Niko radhi kuwa kinguruwe cha kujaribiwa ili Afrika iokoke maana hiki kirusi ni ile kimetukosa kosa tu ila tulipaswa kufa kwa mamilioni, huu umaskini wetu unaosababisha hadi viongozi wanakua wakaidi, yaani tushukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa anadanganywa na yale mashirika yanayotangaza sana njia za uzazi wa mpango halafu haswa kwa Afrika swali unajiuliza inamaana Afrika ndio inayoongoza kwa watu...?! Jibu ni Hapana, Hajui Ajenda zilizopo kwa vile amesafishwa fikra kitu kwake akisema Mzungu ndio kina akili...
Huyu Jamaa sijui anawaza Kwakutumia Akili Zipi Mpaka Kuna muda hua nawaza jamaa atakua kapandikizwa akili nawala sio akili zake hizi

Waafrika wote ulimwenguni uwachanganye hawawafikii WACHINA WAZUNGU WAHINDI kwaujumla wake jamaa sijui anakwamia wapi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona dawa zake zipo ila sema tu.
Akili za watu wengi zimeshikwa na wazungu.
TANZANIA YATENGENEZA DAWA YA CORONAVIRUS INAITWA #NIMRCAF

DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.

Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF, inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona.

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa pilipili kichaa, tangawizi, limao na kitunguu saumu, asali na maji.

Alisema dawa hiyo inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona, kwa kutibu dalili zinazotokana na ugonjwa huo.

Kwamba tayari imeshaonyesha matokeo chanya. “Mchanganyiko wa tiba lishe hiyo sio dawa ya corona, lakini inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona kwa kuwa inatibu dalili zinazoambatana na ugonjwa huo,” Dk Omolo.

Alisema mpaka sasa tiba lishe hiyo, imeshaleta matokeo chanya kwa kuwa imesaidia wagonjwa wengi wa corona. Alisema kwa sasa mahitaji yamekuwa ni mengi, tofauti na awali.

“Mwanzo tulikuwa tukitengeneza chupa 1,000 na tumekuwa tukisambaza hospitali kwa wagonjwa kwa siku chupa 120 hadi 200, lakini sasa mahitaji yamekuwa makubwa na imeonyesha matokeo mazuri kwa wagonjwa,” alisema

Alisema kutokana na mafanikio hayo, serikali imewaongezea vifaa ambapo kuanzia wiki ijayo wataanza kuzalisha chupa 5,000 kwa siku. Alisema chupa hiyo yenye ujazo wa nusu lita, inauzwa Sh 10,000 na ni dozi ya mtu mmoja ambayo inanyweka kwa siku tano, ambapo mgonjwa atalazimika kunywa mara tatu kutwa.

Dalili za ugonjwa huo wa corona ni joto mwilini na kikohozi kikavu; na baada ya wiki moja kikohozi hicho, kinaweza kusababisha tatizo la kushindwa kupumua. Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya duniani (WHO) kwa wagonjwa 56,000, ulibaini kuwa asilimia 80 ya wale walioambukizwa, hupata dalili zisizo kali kama vile kukohoa, joto mwilini na mara nyingine homa ya mapafu, asilimia 14 hupatwa na dalili kali, kama vile tatizo la kupumua.

Asilimia sita hukumbwa na tatizo la mapafu kushindwa kufanya kazi na viungo vingine mwilini na hata kusababisha kifo. Miongoni mwa dalili nyingi zilizoripotiwa na wagonjwa, asilimia 88 walidai kuwa na joto mwilini, asilimia 68 kikohozi kikavu na asilimia 38 waliripoti uchovu. Tatizo la kupumua liliwapata asilimia 19 ya wagonjwa, asilimia 13 waliripoti kuumwa na kichwa na asilimia nne waliripoti kuharisha.

Omolo alisema kwa mtu ambaye hana dalili, anapaswa kutumia dawa hiyo mara moja kwa siku na hiyo itamsaidia kujikinga na ugonjwa huo wa corona, ambao takwimu za WHO zinaonesha hadi Mei 6, mwaka huu, ulikuwa mewakumba watu 3,588,773.

“Watu wanapaswa kujua kwamba virusi vya corona au Covid 19 ni mojawapo ya homa, hivyo basi vina dalili nyingi zinazofanana na homa ya kawaida’’, alisema

“Lazima uwe makini iwapo unahisi tatizo la kupumua. Ni muhimu kutafuta msaada wa matibabu haraka. Tiba lishe hii haina madhara, watu waitumie ili kujikinga na janga hili la corona, “ alisisitiza Watalamu wanasema zipo njia nne za kudhibiti vimelea vya magonjwa hasa virusi ambavyo havina tiba.

Njia ya kwanza ni chanjo na ya pili ni kuzuia virusi visiweze kujishikiza kwenye seli zilizopo mwilini. Njia ya tatu ni kudhibiti visizaliane au kuongezeka mwilini na njia ya nne ni kuongeza protini mwilini ili kusaidia kupambana na virusi hivyo. Kwa mujibu wa Dk Omolo, NIMRCAF ina vitamini C kwa wingi na vitamini K, na kitaalamu mchanganyiko unaopatikana katika tiba lishe hiyo unaitwa ‘Polyphenols’. Mchanganyiko huo unazuia damu kuganda.

Alisema seli zinazopokea virusi vya corona, zipo kwenye mapafu na virusi vikiingia humo, husababisha damu kuganda na kuleta matatizo kwenye mfumo wa upumuaji. “Mgonjwa akitumia tiba lishe hii, ndani ya nusu saa lazima atasikia nafuu.

Wagonjwa wengi waliokuwa hoi walipoitumia, wamepata matokeo mazuri na wengine wamepona kabisa,”alisema Alisema walianza utafiti wa dawa hiyo muda mrefu, kabla dunia haijakumbwa na janga la corona.

Walifanya utafiti huo kwa kushirikiana na watalamu mbali mbali wa tiba asili. Walikuwa katika kutafiti tiba ya Ukimwi. NIMR imekuja na dawa lishe hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya WHO kutoa taarifa yake, ambayo ilieleza kuwa wanatambua na kuthamini mchango wa tiba asili kutoka Afrika. WHO ilieleza kwamba dawa hizo, pia zinapaswa kupewa nafasi sawa katika kufanyiwa majaribio, kama dawa kutoka maeneo mengine duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom