Nyie wakenya dawa yenu sisi watanzania tu...na sasa your true colour inazidi onekana...Haka Kasomalia tutakachapa sana.
Ethiopia wametoa majeshi yao Somalia na kubakisha wachache tu. Ethiopia wamepeleka majeshi yao Tigray.Alshabaab tu wamewacharaza, mtaweza kupigana SNA supported by Ethiopia?
Vita Tigray imekwisha, sasa hivi majeshi ya Ethiopia yanarudi Somalia[emoji23][emoji23][emoji23]Ethiopia wametoa majeshi yao Somalia na kubakisha wachache tu. Ethiopia wamepeleka majeshi yao Tigray.
Kenya wanafanya mchezo wa mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga,huku makalio yakiwa nje!Kenya itafungua ubalozi mdogo katika jimbo la Somaliland kufikia mwisho wa mwezi Machi wakati Somaliland nayo ikipanga kupandisha hadhi ofisi yake ya Kenya kuwa ubalozi mdogo.
Q heni mambo zenu bwana kwann mnaingilia interest za nchi huru ?Somalia ni wajinga, wanasumbua sana. Lazima tuwafunze adabu.
Wale wa puuzi wamefurushwa upande wa Tz ss iv wame settle ktk jimbo lao upande wa meumbiji ...... Kumbuka walitandikwa sanaaaTutaona. Kule Msumbiji naona mnajaribu jaribu. Your days are numbered
👍👍👍, Imekaa sawa.Tutaona. Kule Msumbiji naona mnajaribu jaribu. Your days are numbered
Kitu ambacho nimefurahia ni uwezo wa UK anavyojaribu kujiposition katoka kutaka kucontrol geopolitics za eneo hilo Somalia na South SudanHaka Kasomalia tutakachapa sana.
Hakuna kilichoachwa, sasa tunapiga kotekote.Kitu ambacho nimefurahia ni uwezo wa UK anavyojaribu kujiposition katoka kutaka kucontrol geopolitics za eneo hilo Somalia na South Sudan
Haya mambo Tz tuliyafanya muda Fulani wakati tuna watu wenye maono ya kidunia. Ila kwa sasa naona Policy yetu imeshift pakubwa na kubaki na mtazamo wa Internal Interests zaidi
Sasa hivi mumefocuss zaidi na mambo ya kuboresha uchumi wenu.Kitu ambacho nimefurahia ni uwezo wa UK anavyojaribu kujiposition katoka kutaka kucontrol geopolitics za eneo hilo Somalia na South Sudan
Haya mambo Tz tuliyafanya muda Fulani wakati tuna watu wenye maono ya kidunia. Ila kwa sasa naona Policy yetu imeshift pakubwa na kubaki na mtazamo wa Internal Interests zaidi
Huku kukana vitu ndo kunatuponzaHakuna kilichoachwa, sasa tunapiga kotekote.
Bado tupo huko kwenye siasa za nje, ila tofauti na zamani ni kuwa sasa tupo kiuchumi zaidi. Pia tofauti na zamani sasa tunawekeza kwenye mambo yetu ya ndani.
Ni kweli mkuuSasa hivi mumefocuss zaidi na mambo ya kuboresha uchumi wenu.
Somaliland inataka kutambuliwa kama nchi huru.
Kenya itafungua ubalozi mdogo katika jimbo la Somaliland kufikia mwisho wa mwezi Machi wakati Somaliland nayo ikipanga kupandisha hadhi ofisi yake ya Kenya kuwa ubalozi mdogo.
Tangazo hilo la pamoja limetolea na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Somaliland Muse Bihi Abdi mwisho wa ziara yake nchini humo.
Viongozi hao wawili pia walikubaliana ndege ya Shirika la ndege la Kenya Airways kufanya safari ya moja kwa moja kutoka mji mkuu wa Nairobi, Kenya hadi mji wa Hargeisa ambao ni mji mkuuwa Somaliland kabla ya mwisho wa mwezi Machi.
Hatua hiyo inaonekana kuikera Somalia, ambayo imetangaza kukatiza uhusiano wake wa kidiplomasia na Kenya.
Somaliland ilijitenga na Somalia in 1991, lakini juhudi zake za kutaka kutambuliwa kimataifa kama taifa huru hazifanikiwa huku Somalia ikisisitiza kuwa bado ni sehemu ya eneo lake.
Somalia imewaita nyumbani wanadiplomasia wake kutoka Kenya na kuwapatia muda wa siku saba wanadiplomasia wa Kenya kuondoka nchini humo.
Msemaji wa serikali ya Kenya Cyrus Oguna amesema kamati ilikuwa imebuniwa kutatua mzozo kati ya nchi hizo, kwani zina uhusiano wa muda mrefu
Nikiwa Mtanzania mwenye asili ya Somaliland nimefurwhishwa sana na jambo hiloSomaliland inataka kutambuliwa kama nchi huru.
Kenya itafungua ubalozi mdogo katika jimbo la Somaliland kufikia mwisho wa mwezi Machi wakati Somaliland nayo ikipanga kupandisha hadhi ofisi yake ya Kenya kuwa ubalozi mdogo.
Tangazo hilo la pamoja limetolea na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Somaliland Muse Bihi Abdi mwisho wa ziara yake nchini humo.
Viongozi hao wawili pia walikubaliana ndege ya Shirika la ndege la Kenya Airways kufanya safari ya moja kwa moja kutoka mji mkuu wa Nairobi, Kenya hadi mji wa Hargeisa ambao ni mji mkuuwa Somaliland kabla ya mwisho wa mwezi Machi.
Hatua hiyo inaonekana kuikera Somalia, ambayo imetangaza kukatiza uhusiano wake wa kidiplomasia na Kenya.
Somaliland ilijitenga na Somalia in 1991, lakini juhudi zake za kutaka kutambuliwa kimataifa kama taifa huru hazifanikiwa huku Somalia ikisisitiza kuwa bado ni sehemu ya eneo lake.
Somalia imewaita nyumbani wanadiplomasia wake kutoka Kenya na kuwapatia muda wa siku saba wanadiplomasia wa Kenya kuondoka nchini humo.
Msemaji wa serikali ya Kenya Cyrus Oguna amesema kamati ilikuwa imebuniwa kutatua mzozo kati ya nchi hizo, kwani zina uhusiano wa muda mrefu ambao unastahili kulindwa.
Usililijua ni usiku wa kizaKanastahili kufunzwa adabu. Kanastahili kuheshimu ndugu yake mkubwa.
Huku kukana vitu ndo kunatuponza
Na wala sio jambo baya Shift in policy
Hakuna siasa yoyote ya Geopolitics Tz tunafanya sasa. Hakuna influence yoyote tuliyonayo siyo SADC,EAC,Middle East wala viunga vya UN. Hapa great Lakes ndo tumebakiza Burundi tu and our grip in Congo is Falling apart
Kenya hawakuanza leo, wamekuwa wanatumika sana kutuharibia mambo yetu. Hata hivi karibuni, baada ya kuona tunapata mikopo kutoka AfDB wakampenyeza mtu wao kuwa makamu kule AfDB ili atuwekee kauzibe.BTW ulisikia habari za Kenya kuingilia uchaguzi mkuu wetu?? Ni vita kubwa sana inapiganwa amini nakwambia.
Kudos mkuuLile bomba la mafuta ya Uganda lililomfanya Uhuru kwenda mpaka Paris na kurudi mikono mitupu unafikiri bila ushawishi wa nje tungeweza?
Tulipo wakarabatia Uganda reli pale portbell na kukarabati meli ya mabehewa ili tuweze kuwashawishi UN kutumia bandari ya Dar kupeleka mizigo yao South Sudan, unafikiri ni siasa za ndani zile?
Ujenzi wa reli mpya toka Mpanda mpaka bandari mpya ya Karema ili mizigo inayoenda Lubumbashi na kusini mashariki mwa Congo isilazimike kupitia Zambia, huoni tunaongeza ushawishi?
Meli mpya ziwa Nyasa, Tanganyika, Nyanza na kule bahari ya Hindi, huoni huo ni mkakati wa kuzivuta nchi zote zinazotuzunguka kututegemea sisi?
Kenya hawakuanza leo, wamekuwa wanatumika sana kutuharibia mambo yetu. Hata hivi karibuni, baada ya kuona tunapata mikopo kutoka AfDB wakampenyeza mtu wao kuwa makamu kule AfDB ili atuwekee kauzibe.
Kwa nini Somalia yote isiwe nchi moja kama ilivyokuwa kipindi cha Siad Barre ili muweze kuitawala pembe yote ya Africa? Na muweze kuwa na ushawishi katika siasa za dunia. Hamuoni mnagombanishwa na kugawanywa makusudi ili sehemu ile isishikiliwe na dola moja ya kiafrika, yenye nguvu? Unafikiri ni kwa nini pembe yote hiyo inashikiliwa na vinchi vidogo vidongo?Nikiwa Mtanzania mwenye asili ya Somaliland nimefurwhishwa sana na jambo hilo
Hata muheshimiwa Bashe, Kinana, rage na wasomali wengi Tanzania tumefurahi na kuipongeza Kenya kua nchi ya Tatu kututambua baada ya UAE. Ethiopia
Mungu ibariki kenya
Mungu ibariki Somaliland
Kwa hivyo Mkenya hastahili kuongoza AFDB? Unaona chuki zenu zilipofikia?Lile bomba la mafuta ya Uganda lililomfanya Uhuru kwenda mpaka Paris na kurudi mikono mitupu unafikiri bila ushawishi wa nje tungeweza?
Tulipo wakarabatia Uganda reli pale portbell na kukarabati meli ya mabehewa ili tuweze kuwashawishi UN kutumia bandari ya Dar kupeleka mizigo yao South Sudan, unafikiri ni siasa za ndani zile?
Ujenzi wa reli mpya toka Mpanda mpaka bandari mpya ya Karema ili mizigo inayoenda Lubumbashi na kusini mashariki mwa Congo isilazimike kupitia Zambia, huoni tunaongeza ushawishi?
Meli mpya ziwa Nyasa, Tanganyika, Nyanza na kule bahari ya Hindi, huoni huo ni mkakati wa kuzivuta nchi zote zinazotuzunguka kututegemea sisi?
Kenya hawakuanza leo, wamekuwa wanatumika sana kutuharibia mambo yetu. Hata hivi karibuni, baada ya kuona tunapata mikopo kutoka AfDB wakampenyeza mtu wao kuwa makamu kule AfDB ili atuwekee kauzibe.
Hata hivyo hawana uwezo huoThe situation is fast escalating. Kuna habari kuwa Somalia National Army (SNA) wanachukua position katika border ya Kenya na Somalia. Sijui wanapanga kufanya nini. Lakini wajue kitu kimoja, wakijaribu kuingia Kenya tutafinya mak*nde zao hadi zipasuke.
Sijasema hamstahili ila nyinyi mnaroho za korosho sana. Yule mama alipoenda AfDB tuu, zilianza chokochoko za kuondolewa Adesina, what a coincidence?Kwa hivyo Mkenya hastahili kuongoza AFDB? Unaona chuki zenu zilipofikia?