Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,531
- 1,577
Daily Nation: Kenya wins UN Security Council seat.Djibouti wanachukua kiti
Kenya wins UN Security Council seat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daily Nation: Kenya wins UN Security Council seat.Djibouti wanachukua kiti
Tanzania akili hawana. Wajinga wanawacha Kenya ya EAC na Kupigia kura Djibouti [emoji23][emoji23][emoji23]. Heri South Africa na Nigeria sasa.Yaani mnawashabikia Djibouti ambao walijitosa kwenye kinyanganyiro kwa majungu baada ya Kenya kuwashinda 37-13, kwenye kura zilizopigwa na nchi 51 kati ya 55 hapa barani Afrika mwaka jana? Badala ya kujiondoa kwa heshima kama inavyostahili, wao walichagua kukiuka maagizo ya AU, Kenya tayari ina baraka za Umoja wa mataifa ya Afrika, AU. Djibouti hawakuwa na uwezo wa kututunishia misuli kiushawishi hapa barani Afrika, wataweza kweli kwenye ligi za juu kimataifa? Acha tusibiri matokeo. Kenya wins African vote to seek UN Security Council seat
Inaitwa wivuTanzania akili hawana. Wajinga wanawacha Kenya ya EAC na Kupigia kura Djibouti [emoji23][emoji23][emoji23]. Heri South Africa na Nigeria sasa.
Hamna kitu.Djibouti wanachukua kiti
Sema walahi? Tz waliwapigia kura djibouti? Lakini nikifikiria kwa makini hainishangazi.Tanzania akili hawana. Wajinga wanawacha Kenya ya EAC na Kupigia kura Djibouti [emoji23][emoji23][emoji23]. Heri South Africa na Nigeria sasa.
mswahili kila siku ni mtu wa wivu ,dezo dezo na story nyingiii...aibu sana hii kwa tz na djibouti yaoo!!😂Tanzania akili hawana. Wajinga wanawacha Kenya ya EAC na Kupigia kura Djibouti [emoji23][emoji23][emoji23]. Heri South Africa na Nigeria sasa.