Kenya kugombea uanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Djibouti; kura kupigwa hapo baadaye

Kenya kugombea uanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Djibouti; kura kupigwa hapo baadaye

hongera zetu mazee dah!! tuko vizuriii😃👍🏼
 
B3689C67-9FF0-4502-9745-9395FC8FFD4D.jpeg
 
Yaani mnawashabikia Djibouti ambao walijitosa kwenye kinyanganyiro kwa majungu baada ya Kenya kuwashinda 37-13, kwenye kura zilizopigwa na nchi 51 kati ya 55 hapa barani Afrika mwaka jana? Badala ya kujiondoa kwa heshima kama inavyostahili, wao walichagua kukiuka maagizo ya AU, Kenya tayari ina baraka za Umoja wa mataifa ya Afrika, AU. Djibouti hawakuwa na uwezo wa kututunishia misuli kiushawishi hapa barani Afrika, wataweza kweli kwenye ligi za juu kimataifa? Acha tusibiri matokeo. Kenya wins African vote to seek UN Security Council seat
Tanzania akili hawana. Wajinga wanawacha Kenya ya EAC na Kupigia kura Djibouti [emoji23][emoji23][emoji23]. Heri South Africa na Nigeria sasa.
 
Tanzania akili hawana. Wajinga wanawacha Kenya ya EAC na Kupigia kura Djibouti [emoji23][emoji23][emoji23]. Heri South Africa na Nigeria sasa.
mswahili kila siku ni mtu wa wivu ,dezo dezo na story nyingiii...aibu sana hii kwa tz na djibouti yaoo!!😂
 
Back
Top Bottom