Kenya imechukua hatua kubwa baada ya William Ruto kutangaza kuwa nchi itawekeza kwenye refinery ya mafuta ya Uganda yenye thamani ya zaidi ya Ksh.500 billion. Hii si deal ndogo ni move inayoweza kubadilisha mwelekeo wa energy sector Afrika Mashariki.
Akiongea katika Africa We Build Summit 2026 jijini Nairobi, Ruto alisema Africa bado ina import mafuta refined licha ya kuzalisha 10% ya global oil. Swali ni mbona hatujitoshelezi?
Kwa upande wake, Yoweri Museveni anaonekana kusukuma agenda ya regional cooperation hadi kufikia kutaka 50% stake ya Kenya Pipeline. Hii inaonyesha nchi hizi mbili zinaangalia bigger picture kuliko competition.
Na mambo yanazidi kunoga mfanyabiashara tajiri Aliko Dangote amesema ako ready kujenga refinery kama ile ya Nigeria hapa East Africa kama serikali zitasupport. Hii ni big deal kwa jobs na industrial growth.
Lakini bado kuna maswali: Kenya ilifunga Changamwe Oil Refinery kwa sababu ya gharama je, safari hii itakuwa tofauti?

- Hii ni investment smart ama tunachukua risk kubwa bila clear returns?
- Wananchi watanufaika aje bei ya mafuta itashuka ama ni politics tu?Kwa sasa, National Treasury bado haijaweka wazi ni pesa ngapi Kenya itawekeza. Source: Citizen digital