Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

Dah kweli niamini Waafrika tulikuwa sokwe 😂
Screenshot_20240717-193448~2.jpg
 
Ni sababu.

Sasa kama population ya watu inaongezeka kila siku na mahitaji madogo madogo tu bado yanatushinda.

Sasa unategemea nini hapo?

Kama kondomu tu zinatushinda, ndio tutaweza madawa na vifaa tiba?

Bado vituo vya afya?
Mkuu una uhakika tukiongozwa na viongozi wenye weredi na maarifa ya kina kuzaa itakuwa sababu?

Nchi ambayo haiifikii hata china kwa populationi ya watu?
 
Mkuu una uhakika tukiongozwa na viongozi wenye weredi na maarifa ya kina kuzaa itakuwa sababu?

Nchi ambayo haiifikii hata china kwa populationi ya watu?
Hivi nani anayeaminisha watu "ujinga" kwamba Uchina washawahi kuwa hoe hae kihivyo? Unaanzaje kufananisha taifa lenye historia lenye zaidi ya miaka maelfu na nchi yenye miaka 100+?

Kama hamuoni hasara ya kuzaliana hovyo basi tutaiona mbeleni kwa njia ngumu zaidi.
 
Kemeeni ufisadi kwanza baada ya hapo tuone tatizo jingine lipi ni kubwa zaidi la kushughulika nalo.
Huwezi niambia kuzaa ovyoo ndo tatizo ili hali ardhi tuliyo nayo robo tu ndo imetumika.

Unashindwa kukemea bandari na amdini kuuzwa kwa mikataba ya kifisadi.

Tuambie wewe mwenye mtoto mmoja umelifanyia nini taifa tuige kwako
 
Back
Top Bottom