antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
View: https://youtu.be/uULa9h0BW9c?si=ZS0SywxfHssnT_DK
Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana.
Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa.
Duh,
Vipaumbele vya serikali za Kiafrika havieleweki.
"... the government introduced heavy taxation to condoms".
Badala ya kuacha kutoza kodi kubwa kwenye condoms ili wananchi, hasa vijana ambao ndiyo nguvu kazi waepuke maambukizi, wanafanya kinyume chake!!