A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Feb 15, 2025 #41 Nyani Ngabu said: View: https://youtu.be/uULa9h0BW9c?si=ZS0SywxfHssnT_DK Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa. Click to expand... Duh, Vipaumbele vya serikali za Kiafrika havieleweki. "... the government introduced heavy taxation to condoms". Badala ya kuacha kutoza kodi kubwa kwenye condoms ili wananchi, hasa vijana ambao ndiyo nguvu kazi waepuke maambukizi, wanafanya kinyume chake!!
Nyani Ngabu said: View: https://youtu.be/uULa9h0BW9c?si=ZS0SywxfHssnT_DK Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa. Click to expand... Duh, Vipaumbele vya serikali za Kiafrika havieleweki. "... the government introduced heavy taxation to condoms". Badala ya kuacha kutoza kodi kubwa kwenye condoms ili wananchi, hasa vijana ambao ndiyo nguvu kazi waepuke maambukizi, wanafanya kinyume chake!!
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Feb 16, 2025 #42 The Mongolian Savage said: Kuna PEP condom ya nini? Click to expand... PEP ndiyo ARV hizo hizo Trump kaminya kabinya 'mbupu' Zita adimika nazo.
The Mongolian Savage said: Kuna PEP condom ya nini? Click to expand... PEP ndiyo ARV hizo hizo Trump kaminya kabinya 'mbupu' Zita adimika nazo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 16, 2025 #43 Ni sawa tu... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 16, 2025 #44 Smart911 said: Ni sawa tu... Cc: Mahondaw Click to expand... Kwani Unatumiaga hio makitu lo???
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 16, 2025 #45 Mahondaw said: Kwani Unatumiaga hio makitu lo??? Click to expand... Why nikutumilie wakati meat by meat ndiyo mwake...
Mahondaw said: Kwani Unatumiaga hio makitu lo??? Click to expand... Why nikutumilie wakati meat by meat ndiyo mwake...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 16, 2025 #46 Smart911 said: Why nikutumilie wakati meat by meat ndiyo mwake... Click to expand... Yaniiii Nilitaka kushangaa unatumia nanani na sina habari Trump sijui ana mpango mkakati gani hata Anyways time will tell
Smart911 said: Why nikutumilie wakati meat by meat ndiyo mwake... Click to expand... Yaniiii Nilitaka kushangaa unatumia nanani na sina habari Trump sijui ana mpango mkakati gani hata Anyways time will tell