shika makalio yako kama umekosa makende.We tunaeleza unakalia ujinga hivi unajua polisiCCM wa tanzania mtindo wanaotumia kuteka kuna siku watu watatumia mule mule hii tabiaYatupasa kuchukua tahadhari kwani kenya ni jirani na Tanzania. Shida ya hapa kwetu hawa nyumbu wa Chadema hata kama kuna matukio ya kihalifu kama haya utasikia eti " wametekwa na polisi".....chadema watu wa ovyo sana bora wamejiondoa kwenye uchaguzi.
Yatupasa kuchukua tahadhari kwani kenya ni jirani na Tanzania. Shida ya hapa kwetu hawa nyumbu wa Chadema hata kama kuna matukio ya kihalifu kama haya utasikia eti " wametekwa na polisi".....chadema watu wa ovyo sana bora wamejiondoa kwenye uchaguzi.
Jirani zetu wanabiashara hatari sijawahi kuona. Kibaya zaidi ni vijana wadogo wa kike na wakiume wamejiingiza kwenye hii biashara. Serikali Yao ipo kimya kama iko likizo. Wanadamu tumegeuka kuwa zaidi ya simba au mamba. Inatisha inasikitisha inaumiza. Huruma sana kwa watoto dahkuna kipindi nafatalia youtube kupitia Easterntv na bado kinaendelea nimeogopa sana tena swala la watoto.
Najua wengi wa watanzania mtoto akijua kutembea unamuacha kama kuku ili mradi tu jioni umuone yupo nyumbani.
Huku kenya sivyo ndivyo yani utekaji ni mkubwa na biashara hii kama itaingia tanzania na kama hipo basi ijashitukiwa ni hatari sana.
Na wa nunuzi wengi born marrow inadaiwa soko lipo congo kwenda nchi nyengine.