Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kenya imetangaza kwamba itanunua mashine mpya ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania kuingia nchini humo.
Vifaa hivyo vitawekwa kwenye maeneo ya mipakani ili kukagua gesi ya kupikia inayosafirishwa kwa barabara.
Awali Tanzania ililalamikia Kenya kwamba gesi yake imekuwa ikizuiwa kwenye maeneo ya mipakani na hivyo kuathiri biashara.
Tume ya kuratibu kawi nchini Kenya ERC imesema mashine moja itagharimu kati ya dola $100,000 na $400,000.
Ndani ya miezi miwili iliyopita Kenya imezuia tani 4,000 za gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia Kenya katika kituo cha mpakani cha Namanga.