MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Standards za gesi Ni tofauti mkuu. Gesi ya TZ huwa na propane nyingi sana inayosababisha iwe risky. Hata hivyo, Ni nafuu zaidi kushinda ya Kenya. Tena wakati mwingine gesi yenyu huwa haina harufu ya "rotten egg" na kuifanya iwe hatari kwani kukiwa na leakage MTU nyumbani hawezi akajua .
Hizi taarifa kuhusu utofauti wa propane zilitolewa kitaalam na zikaeleweka, lakini hawa bado wakajtoa ufahamu na kuendelea kulialia, inabidi kupelekeshana nao jinsi walivyo, hamna haja ya kupoteza muda ili kuwapa majibu ya kitaalam, ndio zao hawa.