Kenya kununua mashine ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania

Kumbe tayari serikali ya Kenya inajua gesi ya tanzania haifai kwa matumizi, kwa nini kununua mashine inayofharimu kiasi hiki kupima kitu ambacho tayari inajua ni kibovu?

Tuache hadaa hazitusaidii
 
Hayo magesi yenu yanatulipukia, tatizo Wabongo mnapenda utapeli na ukajanja mwingi, vipi vichwa vya treni vilivyowaibukia bandarini mlivipeleka wapi au yaliishaje.
Mashini lazima tuweke za kuhakikisha ubora wa gesi inayotoka kwenu maana mnachakachua na kuhatarisha maisha ya Wakenya, nyie ni majirani ambao lazima kuwa makini nanyi hatua kwa hatua, neno kwa neno.
Ushamba wenu wa kutojua kutumia gas msituhusishe aseeh!
Mnazidiwa na LDC[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Standards za gesi Ni tofauti mkuu. Gesi ya TZ huwa na propane nyingi sana inayosababisha iwe risky. Hata hivyo, Ni nafuu zaidi kushinda ya Kenya. Tena wakati mwingine gesi yenyu huwa haina harufu ya "rotten egg" na kuifanya iwe hatari kwani kukiwa na leakage MTU nyumbani hawezi akajua .
Hizo ni strategies tu mliweka ili mpate kisingizio, sasa ngoja tuone huo mtambo utakataa kias gani cha gas kwa kukosa ubora!

tutaambizana hapa hapa

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Jamani mwenye kujua hivi ni kweli gas inayozalishwa mtwara haifai kwa matumizi ya nyumbani ni special kwa viwanda tu mwenye kujua atuambie

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Nakushauri uanzishe uzi kule kwenye jukwaa la tech uulize swali hili utapata majibu mazuri!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Ushamba wenu wa kutojua kutumia gas msituhusishe aseeh!
Mnazidiwa na LDC[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.

Hizi ndio changamoto za kuzungukwa na nchi maskini, Marekani wanasumbuliwa sana kwenye mpaka wa Mexico, kila siku wanapambana kuzuia uchafu unaoingia pale.
 
Labda hujui vizuri huo mgogoro wa usa na Mexico unachukulia huu wa juzi hapa! Lakini mexico anakuwa mkorofi kwa sababu ya sera za marekani yenyewe, Haiwezekani marekani wafanye biashara ya dawa za kulevya lakini wakatae dawa hizo kuuzwa nchini kwao, eti ziuzwe Mexico na kwingineko ila hela wapate wao! Hivyo lazima wawe wakorofi!

Back to the topic, so long as mmekubali kuleta huo mtambo kelele zitapungua, ilatutawaomba takwimu tuone kiasi gan cha gas kitakataliwa! Hiyo ndo itabaki hoja ya msingi!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Labda hujui vizuri huo mgogoro wa usa na Mexico unachukulia huu wa juzi hapa! Lakini mexico anakuwa mkorofi kwa sababu ya sera za marekani yenyewe, Haiwezekani marekani wafanye biashara ya dawa za kulevya lakini wakatae dawa hizo kuuzwa nchini kwao, eti ziuzwe Mexico na kwingineko ila hela wapate wao! Hivyo lazima wawe wakorofi!

Back to the topic, so long as mmekubali kuleta huo mtambo kelele zitapungua, ilatutawaomba takwimu tuone kiasi gan cha gas kitakataliwa! Hiyo ndo itabaki hoja ya msingi!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.

Kifaa tutaleta, tulipopiga ban gesi yenu tuliwaambia msubiri hadi tulete kifaa cha kuhakikisha tumezuia huo ukajanja wenu. Sasa tupo kwenye tendering, najua mna hamu sana maana hela zetu tamu na zipo nyingi.
 
Unajua mie nimeamua kutojibu maswali na matamko mengine ya kipumbavu. Mtu ambaye ameweza kuuliza maswali ya maana ni CHARMILTON . Kwani, Kenya na Tanzania sote twaagiza gesi kutoka Nje; Itakuwaje Tanzania waagize gesi kutoka nje kisha waje watuuzie sisi? Kwani Kenya haina uwezo wa kuagiza gesi kutoka nje? Unapojiuliza swali hili ni lazima ugundue ya kuwa kuna mchezo fulani unaochezwa pale. Serikali ya Kenya iliamua kuleta Mashine ili tu kusiwe na excuses kwamba tunakataa uagizaji wa gesi kutoka TZ. Nina uhakika ya kuwa gesi hii kutoka TZ itapungua.
 
Nunueni tu mapema, vinginevyo tunagonga rungu jingine tena! Nahis hili litaangukia KQ au KCB

LDC ya sa hz sio ya kukenua na mtu!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Unajua mie nimeamua kutojibu maswali na matamko mengine ya kipumbavu. Mtu ambaye ameweza kuuliza maswali ya maana ni CHARMILTON . Kwani, Kenya na Tanzania sote twaagiza gesi kutoka Nje; Itakuwaje Tanzania waagize gesi kutoka nje kisha waje watuuzie sisi? Kwani Kenya haina uwezo wa kuagiza gesi kutoka nje? Unapojiuliza swali hili ni lazima ugundue ya kuwa kuna mchezo fulani unaochezwa pale. Serikali ya Kenya iliamua kuleta Mashine ili tu kusiwe na excuses kwamba tunakataa uagizaji wa gesi kutoka TZ. Nina uhakika ya kuwa gesi hii kutoka TZ itapungua.
Tulia hivyo hivyo ndugu! Sio kosa letu ni kosa la wakenya wanaotaka gas ya kupitia tz!

Hili si kosa la watanzania kwa Ujumla au wakenya kwa ujumla. Wakenya wengi ambao hutumia gesi hawajui ni ipi bandia na ni ipi halali. Hata mi mwenyewe ilibidi nianze kununua gesi kutoka kwa Maduka ya Total yenyewe ingawa ni ghali kushinda hizi za mtaa. Ni kosa la wanabiashara wanaofanya makosa haya wakijua. Pia serikali ya Kenya ingekuwa iko na makosa ikiwa haingechukua hatua madhubuti kukabiliana na ovu hili. Serikali ya Tanzania pia iwe inaleta arguments amabzo zinaeleweka. Hata hivyo, ni vyema serikali ya Kenya iwe Kidete na isije ikaleghea kwa hili.
 
Hili si kosa la watanzania kwa Ujumla au wakenya kwa ujumla. Wakenya wengi ambao hutumia gesi hawajui ni ipi bandia na ni ipi halali. Hata mi mwenyewe ilibidi nianze kununua gesi kutoka kwa Maduka ya Total yenyewe ingawa ni ghali kushinda hizi za mtaa. Ni kosa la wanabiashara wa Kenya na Tanzania waliojaa tamaa na wanaofanya makosa haya wakijua. Pia serikali ya Kenya ingekuwa iko na makosa ikiwa haingechukua hatua madhubuti kukabiliana na ovu hili. Serikali ya Tanzania pia iwe inaleta arguments amabzo zinaeleweka. Hata hivyo, ni vyema serikali ya Kenya iwe Kidete na isije ikaleghea kwa hili.
 
Maana yake ni kwamba hawakubali bidhaa kutoka Tanzania kwa asilimia 100%.. Achilia mbali gesi
Ueona mbali na upo sahihi. Hakuna. Kenya hawamini na hawakuli kuagiza kitu kutoka Tanzania ( finished goods) kwani wao wanajiona ni super Nation. Wako tayari waagize mahindi wakasage na kufanya packing ili warudishe Tanzania. Dawa ni Tanzania nayo isusie bidhaa kutoka Kenya. Kwa idadi ya watu wa Tanzania ni soko la kutosha kinachotakiwa ni kuangilia soko lingine zaidi ndani na nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mie nimeamua kutojibu maswali na matamko mengine ya kipumbavu. Mtu ambaye ameweza kuuliza maswali ya maana ni CHARMILTON . Kwani, Kenya na Tanzania sote twaagiza gesi kutoka Nje; Itakuwaje Tanzania waagize gesi kutoka nje kisha waje watuuzie sisi? Kwani Kenya haina uwezo wa kuagiza gesi kutoka nje? Unapojiuliza swali hili ni lazima ugundue ya kuwa kuna mchezo fulani unaochezwa pale. Serikali ya Kenya iliamua kuleta Mashine ili tu kusiwe na excuses kwamba tunakataa uagizaji wa gesi kutoka TZ. Nina uhakika ya kuwa gesi hii kutoka TZ itapungua.
Hizo machine zishanunuliwa basi kufanya Kenya iruhusu uingizaji wa gesi ya Tanzania? Au unatetea matumbo ya mabwanyenye wa huko Kenya yanatowatoza gesi kwa bei ghali! Uache upumbavu kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake ni kwamba hawakubali bidhaa kutoka Tanzania kwa asilimia 100%.. Achilia mbali gesi
Ni ukweli usiopingika,Kenya inapenda kuwa kinara wa kuuza processed products kwa wenzake na yenyewe ikiuziwa mgogoro wa ubora unaibuka sasa tutafika ?
 
Vipi Machine za kupima gesi na ngano zimeshafika?
 
Ni ukweli usiopingika,Kenya inapenda kuwa kinara wa kuuza processed products kwa wenzake na yenyewe ikiuziwa mgogoro wa ubora unaibuka sasa tutafika ?
Kwa style hii... Ni ngumu kujenga Afrika Mashariki ya Maendeleo
 
Back
Top Bottom