ina maana gesi yetu haina ubora mpaka wafikie hapo?Kenya imetangaza kwamba itanunua mashine mpya ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania kuingia nchini humo.
Vifaa hivyo vitawekwa kwenye maeneo ya mipakani ili kukagua gesi ya kupikia inayosafirishwa kwa barabara.
Awali Tanzania ililalamikia Kenya kwamba gesi yake imekuwa ikizuiwa kwenye maeneo ya mipakani na hivyo kuathiri biashara.
Tume ya kuratibu kawi nchini Kenya ERC imesema mashine moja itagharimu kati ya dola $100,000 na $400,000.
Ndani ya miezi miwili iliyopita Kenya imezuia tani 4,000 za gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia Kenya katika kituo cha mpakani cha Namanga.
KENYA WENYEWE KWA WENYEWE WANABAGUANA KWA UKABILA HAISHANGAZI KUBAGUA JIRANI ZAKE
Kwenye mahindi, zabibu na vingine wanavyonunua kwa wizi na magendo watanunua mashine ya kukagua? Au ni gesi tu? Kuwa na Jirani kama huyu ni adha kwa kweli. cc: MK 254Kenya imetangaza kwamba itanunua mashine mpya ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania kuingia nchini humo.
Vifaa hivyo vitawekwa kwenye maeneo ya mipakani ili kukagua gesi ya kupikia inayosafirishwa kwa barabara.
Awali Tanzania ililalamikia Kenya kwamba gesi yake imekuwa ikizuiwa kwenye maeneo ya mipakani na hivyo kuathiri biashara.
Tume ya kuratibu kawi nchini Kenya ERC imesema mashine moja itagharimu kati ya dola $100,000 na $400,000.
Ndani ya miezi miwili iliyopita Kenya imezuia tani 4,000 za gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia Kenya katika kituo cha mpakani cha Namanga.
Kwenye mahindi, zabibu na vingine wanavyonunua kwa wizi na magendo watanunua mashine ya kukagua? Au ni gesi tu? Kuwa na Jirani kama huyu ni adha kwa kweli. cc: MK 254
Post sent using JamiiForums mobile app
Kila nchi ina viwango vyake. Ndo maana kuna TBS na KEBS.ina maana gesi yetu haina ubora mpaka wafikie hapo?
Zabibu za Dodoma hatutawauzia tena, mbaki mnaziona Zabibu kwenye pictures
EAC walisha kubaliana kuwiana viwango, Wakenya mnaweka jeuri tu.Kila nchi ina viwango vyake. Ndo maana kuna TBS na KEBS.
Kenya wanataka wawe maboss wetu tena hata kwa lazima. Sheeda sanaMaana yake ni kwamba hawakubali bidhaa kutoka Tanzania kwa asilimia 100%.. Achilia mbali gesi
ina maana gesi yetu haina ubora mpaka wafikie hapo?
ina Maana Wakenya hawatuamini Watanzania? interesting...hatuwezi kuwauzia gesi feki/mbaya
EAC walisha kubaliana kuwiana viwango, Wakenya mnaweka jeuri tu.
— Tanzania Bureau of Standards (TBS)
Msitafute Mohawi yupo huko huko kwenu mbona sisi tunatumia na haina madhara? Kama vipi agizeni Zambia kama mlivyoagiza mahindi [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hayo magesi yenu yanatulipukia, tatizo Wabongo mnapenda utapeli na ukajanja mwingi, vipi vichwa vya treni vilivyowaibukia bandarini mlivipeleka wapi au yaliishaje.
Mashini lazima tuweke za kuhakikisha ubora wa gesi inayotoka kwenu maana mnachakachua na kuhatarisha maisha ya Wakenya, nyie ni majirani ambao lazima kuwa makini nanyi hatua kwa hatua, neno kwa neno.