Standards za gesi Ni tofauti mkuu. Gesi ya TZ huwa na propane nyingi sana inayosababisha iwe risky. Hata hivyo, Ni nafuu zaidi kushinda ya Kenya. Tena wakati mwingine gesi yenyu huwa haina harufu ya "rotten egg" na kuifanya iwe hatari kwani kukiwa na leakage MTU nyumbani hawezi akajua .
Wewe unayejuwa mbona unejificha nyuma ya mlago? What is so special to test gas or gas cylinder, kwani watanzania wameshidwa to test their own gas. Mbona sisi tunatumia the same gas bila ya matatizo yoyote. Mnacheza sarakasi msizoziweza.Unachosema hukijui
Wewe unayejuwa mbona unejificha nyuma ya mlago? What is so special to test gas or gas cylinder, kwani watanzania wameshidwa to test their own gas. Mbona sisi tunatumia the same gas bila ya matatizo yoyote. Mnacheza sarakasi msizoziweza.
Nimeandika hapo na MK254 amekuambia huskii. Kila nchi ina standards zake. EAC si EU. Kwanini Kenya tunaagiza magari tofauti na Nyinyi ikiwa standards zetu ni sawa? Tatizo lako na wengine kama wewe ni kuleta ubishi pasipo ubishi hadi mnafanya Jamii Forums inakuwa jukwaa Toxic sana.
Hivi wewe unafikiri kabla ya kuandika, nini maana ya neno uwiyano (harmonization). Maboss wa EAC barue of standard wanongeaga nini wakikuta pale Arusha?
BTW, kunatofauti gani kubwa ya magari yanayouzwa Kenya na yanayouzwa Tanzania? Kama ingekuwa hivyo ungeona magari ya Kenya yanaigia Tanzania au ya Tanzania yanaingia Kenya?
Pale miraa inapokolea, hata policy moja ya EAC hujuwi unatujazia server tu hapa.Kwa comment hiyo, basi kajibambe. Hata mazuzu wa JF wanajua. Ingekuwa umeuliza swali bila kujidai mjuaji, ningekueleza. Kwa kuwa we ni mjuaji, sawa basi
Kweli wakenya gas kwenu bado ni extraordinaryStandards za gesi Ni tofauti mkuu. Gesi ya TZ huwa na propane nyingi sana inayosababisha iwe risky. Hata hivyo, Ni nafuu zaidi kushinda ya Kenya. Tena wakati mwingine gesi yenyu huwa haina harufu ya "rotten egg" na kuifanya iwe hatari kwani kukiwa na leakage MTU nyumbani hawezi akajua .
ok sawa mkuuSoma comment yangu hapo juu
Samahani kwa watz wenzangu hiyo gesi tunayopeleka Kenya kwa mitungi ndo zile inayoingia bandarini au ndo ile inazalishwa Mtwara?
Ina maana nyie hamuwezi kuagiza ya kwenu?Gesi mnayoleta Ni ile ya kuagiza sio yenu. Hili ndio lilikua jambo ambalo Kenya walikua na shida NATO. Itakuwaje tz kuagiza gesi kupitia bandari ya Mombasa kisha kuirudisha Kenya tena (kuna kiwango Fulani hupitia Mombasa.)
Gesi mnayozalishi mtwara Ni industrial na haiwezi tumika domestically kwa nyumba
Tunaagiza gesi kupitia bandari ya Mombasa? Alafu tunawauzia? Iyo miraa punguza buda.Gesi mnayoleta Ni ile ya kuagiza sio yenu. Hili ndio lilikua jambo ambalo Kenya walikua na shida NATO. Itakuwaje tz kuagiza gesi kupitia bandari ya Mombasa kisha kuirudisha Kenya tena (kuna kiwango Fulani hupitia Mombasa.)
Gesi mnayozalishi mtwara Ni industrial na haiwezi tumika domestically kwa nyumba
Ina maana nyie hamuwezi kuagiza ya kwenu?
Lengo la kuuliza ni kutaka kujua ni kwa nini Kenya isiagize gesi yake yenyewe na badala yake inunue gesi iliyoagizwa na Tanzania.Sijui kama unauliza kiubishi au ndio ujue? Gesi inaagizwa Kenya na Tanzania. Standards za gesi Ni tofauti. Kwahivyo bei ya gesi tz Ni cheaper kushinda ya Kenya. kwa sababu hakuna mashine ya kupima kiwango cha propane kwenye boda ya namanga, wafanyibiashara waovu wanarudisha poor quality gas kurudi Kenya.
Lengo la kuuliza ni kutaka kujua ni kwa nini Kenya isiagize gesi yake yenyewe na badala yake inunue gesi iliyoagizwa na Tanzania.
Ni kitu gani kinazuia Kenya kuagiza gesi yake yenyewe?
Kenya ina uwezo wa kununua gesi yake kupitia badari ya Mombasa. Sisi hununua gesi kutoka nje. Tatizo ni kuwa gesi yetu huwa ya bei ghali kushinda yenu. Kwa hivyo, wafanyi biashara walaghai kutoka TZ, wanashirikiana na wafanyi biashara walaghai kutoka kenya ambao wana tamaa kuuza hii gesi iliyojaa propane ili wapate faida kubwa. Wanafanya hivi kwa kuwa hakuna mashine ya kupima ubora wa gesi katika mpaka wa Kenya na TZ. Hili ndilo limefanya serikali ya Kenya kusema wataweka mashine hii kwenye mpaka wa Kenya na TZ ili waweze kupima ubora wa hii gesi na kutohatarisha maisha ya wakenya. Nina uhakika kuwa tutakapoweka mashine hii hapo mpakani, importation ya gesi kutoka TZ itapungua kwa kiwango kikubwa sana.
Mkuu unachelewa sana, nafasi yako itashikiliwaina Maana Wakenya hawatuamini Watanzania? interesting...hatuwezi kuwauzia gesi feki/mbaya
usiwaze mkuuMkuu unachelewa sana, nafasi yako itashikiliwa