Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Mmemaliza za kwenu???Tangu niko Shule nimekuwa nikisikia Funza Kenya na mpaka leo hii bado tatizo liko pale pale, nashindwa kuelewa kwa maana ni swala la Watoto kuvaa viatu tu, kwa nini badala ya laptop, Watoto wasipewe viatu nakumaliza tatizo mara moja mpaka kwenda kuomba msaada kwa Mzungu?
Nauliza za kwenu Mbeya zimeisha??Mkuu funza na wewe zimekukanyaga?
Hakuna janga la Funza, Tanzania!
We ebu Katoe funza kwanzaMmemaliza za kwenu???
Sawa mi ntatoa, acha zako usitoeWe ebu Katoe funza kwanza
Waah... Si Mabashite watokwa povu kweli? Duh! Watu wa kuforge hadi vyeti vya kipaimara.......
Nenda kasome kamusi ya kiswahili.Kipaimara ndio nini??
Mashauo tupuNenda kasome kamusi ya kiswahili.
[emoji23] [emoji23]Nasikia funza wameshaanza kuingia mpaka Ikulu
Eti kiongozi pekee asiye na funza huko ni Rutto
Mashauzi au mashauo. Kipaimara waulize kanisa la RC.Mashauo tupu
Aargh! Mbona we uko hivi??Mashauzi au mashauo. Kipaimara waulize kanisa la RC.
Mashauo ndio nini?Mashauo tupu