Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Mmemaliza za kwenu???Tangu niko Shule nimekuwa nikisikia Funza Kenya na mpaka leo hii bado tatizo liko pale pale, nashindwa kuelewa kwa maana ni swala la Watoto kuvaa viatu tu, kwa nini badala ya laptop, Watoto wasipewe viatu nakumaliza tatizo mara moja mpaka kwenda kuomba msaada kwa Mzungu?