Kenya kupambana na funza, na imeanzisha kampeni kubwa.

Kenya kupambana na funza, na imeanzisha kampeni kubwa.

Tangu niko Shule nimekuwa nikisikia Funza Kenya na mpaka leo hii bado tatizo liko pale pale, nashindwa kuelewa kwa maana ni swala la Watoto kuvaa viatu tu, kwa nini badala ya laptop, Watoto wasipewe viatu nakumaliza tatizo mara moja mpaka kwenda kuomba msaada kwa Mzungu?
Mmemaliza za kwenu???
 
Kipaumbele mwaka jana Kenya ilipambana na kunguni na mwaka huu kenya itapambana na chawa na msisahau mapambano ya alshabaab pia yanaendelea.
 
Waah... Si Mabashite watokwa povu kweli? Duh! Watu wa kuforge hadi vyeti vya kipaimara.......
 
Mtu akikutamkia 'Mashusi au mashauo' ujue huyo ni Freemason. Haina uhusiano kabisa na ukatilikj.
 
Back
Top Bottom