Kenya kuwa na Marais 2, Muungano wa Upinzani NASA watishia kumuapisha Raila Odinga kama Rais

Raila sio Presidential material kabisa.. Urais asahau sbb ameshashindwa mara nyingi sana.. Apumzike tu
 
Uhuru ana kura 7.4m polling stations kadhaa tu ndo zimebakia..uchaguzi uliopita alkua na 8.4m turnout inachezea 40% ata citizen tv na zingine walifanya tallying kivyao ya forms na wamethibitisha hio 7.4m.. . ...ata hivyo turnout ikiwa 40% haimanisha hio 60% imebakia ni wafuasi wa NASA(utakua mjinga wa mwisho ukidhania ivo), kuna wafuasi wengi wa jubilee pia hawakupiga kura kutokana na sababu kadhaa
 
Uhuru alishasema kama kuna yeyote anataka kuleta vurugu Kenya hii atatambua kuwa Kenya iko na Rais, na Rais ndio Mimi!! Kwa ujinga huu wa NASA wasifikri Uhuru huwa anajaribiwa! Cha moto watakiona!! Kwisha habari ya RAO!!
 
hivi Raisi huapishwa na Jaji mkuu? ina maana jaji mkuu huyo huyo amwapishe Uhuru aafu tena amwapishe Raila au ataapishwa na James Orengo kamada wake..
Au na Jaji mkuu wanae wa kwao...Raila kama vile kavurugwo...akimbilie mahakamani hii kulia mara hiki mara kile na ushahidi haleti wa kueleweka ni kujichosha..
Wakenya mtegemee kumchangia tena maana zile za mara ya kwanza mlizonga baada ya hukumu ya mahakumu kuu naona zinaelekea mwishoni..
 
Kamata hii odinga tundika virungu vya kutosha weka ndani, kelele zooote hizi kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…