Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 670
[emoji120] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ikulu yao iko chattle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ikulu yao iko chattle
Nguvu ya umma ni kubwa kuliko dola unayosema....na popote pale duniani hakuna dola iliyowahi shinda nguvu ya umma.so msiwe mnaandika kwa jazba tu bila kushirikisha ubongo...NASA wamechanganyikiwa. Raila ataapishwa kama Rais kwa kura zipi? Na mamlaka ipi kisheria? Ana vyombo vya dola? Na katiba ipi itamruhusu?
Amepoteza dira mkuu
Uhasi[emoji735] = uasi[emoji736]naona anatafuta uhasi kwa nguvu
Kwa akili yako nguvu ya umma ndo itamsimika Odinga pale Ikulu siyo? Acha porojo jibu ataapishwa kama Rais kwa kura zipi? Na mamlaka ipi ya kisheria?Nguvu ya umma ni kubwa kuliko dola unayosema....na popote pale duniani hakuna dola iliyowahi shinda nguvu ya umma.so msiwe mnaandika kwa jazba tu bila kushirikisha ubongo...
Labda nchi mbili pwani Mombasa na Bara NairobiNchi moja ya Kenya..!
Wakenya wakifa/ wakipiga vita Uhuru kenyata amekua /atakua ni mpumbavu aliye vuka mipaka kwa kushidwa kusimamia swala la AMANI kwa kuwa yy ndo amiri jeshi MkuuHata mwenyekiti Mao tse tung aliwahi kusema [emoji117] VITA NI MUENDELEZO WA SIASA ILI KUTATUA YALE MATATIZO YALIYO SHINDIKANA KISIASA YAPATE WEPESI [emoji106]
Hiyo nguvu ya umm ipo NASA tu au pia Jubilee? Kama NASA wakifanya hivyo na Jubilee wakiamua hivyo ambao inasadikiwa kuwa wengi kama wale wa NASA unafikiri nini kitatokea?Nguvu ya umma ni kubwa kuliko dola unayosema....na popote pale duniani hakuna dola iliyowahi shinda nguvu ya umma.so msiwe mnaandika kwa jazba tu bila kushirikisha ubongo...
Bila shaka atakuwa amekuelewa. Maana ameongea kama NASA ndo Kenya yote kwa asilimia 100%Hiyo nguvu ya umm ipo NASA tu au pia Jubilee? Kama NASA wakifanya hivyo na Jubilee wakiamua hivyo ambao inasadikiwa kuwa wengi kama wale wa NASA unafikiri nini kitatokea?
Matumizi ya nguvu ya umma ni pale wananchi kwa asilimia kubwa wanapoungana kupinga jambo au uongozi dhalimu, sasa hebu fikiria idadi ya NASA na Jubilee ndio utajua hakuna nguvu yoyote ya umma zaidi ya mapigano baina yao na sio serikali tena.
Mkuu from tarehe nane nafatilia uchaguzi WA Kenya tangia ule uchaguzi WA kwanza....msisikilize zile taarifa za sekunde mbili za ITV na TBC mkadhan mnainfo ya kujitosheleza...Hiyo nguvu ya umm ipo NASA tu au pia Jubilee? Kama NASA wakifanya hivyo na Jubilee wakiamua hivyo ambao inasadikiwa kuwa wengi kama wale wa NASA unafikiri nini kitatokea?
Matumizi ya nguvu ya umma ni pale wananchi kwa asilimia kubwa wanapoungana kupinga jambo au uongozi dhalimu, sasa hebu fikiria idadi ya NASA na Jubilee ndio utajua hakuna nguvu yoyote ya umma zaidi ya mapigano baina yao na sio serikali tena.
Nia yake ni kugawa Taifa la Kenya kuwa pande mbili na amesema wazi kuwa wataanza uasi.Ama huyu mzee laila anatoa mpya aapishwe kwa kutumia katiba ipi. Atakuwa rais wa wajaruo Labda.
hivi hiyo the Hague ni kwa ajili ya watu weusi tuRaila aliishashindwa toka zamani,asitumike kuiingiza Kenya katika machafuko vinginevyo The Hague patakuwa mahala salama kwake
Haya yote suluhisho sio NASA kumuapisha RAO, kuna tofauti kubwa sana kati ya kupiga kura na kumpenda mtu, kujitokeza kwa watu wachache bado sio kilelezo tosha kuwa Wakenya wote wapo tayari kumpinga Uhuru na serikali yake kwa umoja wao kama nchi moja.Mkuu from tarehe nane nafatilia uchaguzi WA Kenya tangia ule uchaguzi WA kwanza....msisikilize zile taarifa za sekunde mbili za ITV na TBC mkadhan mnainfo ya kujitosheleza...
Nampenda Uhuru sana awe rais kwa miaka mitano tena, ila kwa upumbafu anaoufanya kwa mtu wenye akili nzuri huwezi sapoti.mkuu techolojia ni kubwa mno ,watu walio jitokeza kwa uchaguzi WA marudio ni kati ya asilimia 22~33 ya watu million 19 waliojiandikisha kupiga kura.kwa hiki wanachokifanya ni ujinga WA kiwango cha lami kuudanganya ulimwengu kuwa Uhuru kapata kura almost milion Tisa sasa.yaani hii imemvua Nguo kuonesha ni jinsi gani kule kwenye server wanavyo ichezea.
Mkuu kwa logic ndogo tu ,hata Uhuru angepata kura laki moja ni halali yake na angeapishwa kwasababu watu hawalazimishwi kupiga kura ,sasa hizi manipulations anafanya kwa faida ya nani na ili iweje????
Watu kwenye vituo vya kupiga kura unaona kabisa hawapo ,halafu eti mtu anakwambia mifumo ilikuwa fasta sana watu walikuwa wakija wanavote fasta kwa sekunde chache na kuondoka, ndiyo maana kulikuwa hakuna foleni na watu watu vituoni. Kweli Leo ndiyo mifumo imekuwa fastaa????
KWA SISI WAPENDA HAKI ,HATA KAMA UNAONA RAFIKI YAKO ANAKOSEA HUWEZI KUSAPOTI UJINGA ANAOFANYA ETI KISA UNAMPENDA UKAFUMBIA MACHO UJINGA ANAOFANYA ,MWAMBIE UKWELI. LET'S CALL A SPADE , SPADE...NOT A SPOON.