Kenya Kwanini Njaa bado ni Tatizo..?..

Mzee ukisema Tanzania watu wanakufa na njaa wakati watu tuna zaidi ya tani 100 za mahindi na hatuna kwa kuzipeleka soko lishajitoshereza.

Sent using Jamii Forums mobile app

KWANZA - mimi sio mzee, mm ni msichana 🙂

PILI - sio mm niliyesema hivyo, hiyo ni article kwenye media.
TATU - nimemjibu mwenzio hapo juu kwamba kama TZ kuna chakula cha kutosha, mbona kuna world food organization na makampuni mengineyo kama hayo? there hasto be a problem for these organizations to be started, if you are very well self sufficient why have these organizations?

MWISHO - mm sikatai TZ wana afadhali kuliko kenya ikija mambo na njaa, Tz ni BORA, nikisema bora haimaanishi kwamba Tz hakuna shida ya chakula / njaa. Nasema tu, musikane kwamba shida haiko kwenu. Iko afadhali kuliko kenya, lakini shida ipo bado.
 
WFP purchasing food from Tanzania for its outreach they depend on us, they are here too for servicing refugees we host.
 
OMG!! huwa wanafanya hivyo?
nndio hvo bro...serikali ilikuwa inaamua kununua mbuzi wale waliokondeana na kuwapeleka mahali salama...na wanapo recover huwapeleka butchery kuwachinja...

sasa jamaa akipata hyo hela...mtu huenda tena na kununua mbuzi wengine na bunduki mayb...sasa mtu km huyo utamsaidiajr...mchele hawataki,unga wa mahindi hawataki...wao hutaki mahindi na maharagwe tu...yani kitu chenye kitawasaidia hao jamaa ni elimu tu...
 

jografia ulisoma darasa la ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…